@official.irfan_: 😭😭Mama ni kiumbe chenye thamani kubwa sana katika maisha ya mwanadamu mama ni upendo usiopimika ni rehema na neema ambayo allah ametujalia kupitia kwake mama ni mtu anayekupenda bila kuangalia umekuwa nani au una nini ni mtu anayefurahia furaha yako na kuumia kwa maumivu yako mama anaweza kukosa vitu vingi duniani lakini asikose moyo wa kukujali anaweza kuchoka kwa kazi za maisha lakini bado akakuwaza wewe mama ni yule anayekuombea hata pale ambapo wewe hujui ni kiasi gani anakuombea kwa allah thamani ya mama haipimwi kwa pesa wala haibadilishwi na kitu chochote duniani hakuna upendo unaofanana na upendo wa mama wala hakuna maneno yanayotosha kueleza wema wake ewe allah walinde mama zetu wape afya njema umri wenye baraka na furaha ya moyo tusamehe tulipowakosea na utujalie kuwa sababu ya furaha zao duniani na mwisho wa maisha yao mama ni thamani mama ni upendo mama ni baraka na mama ni neema kutoka kwa allah 🤲
mashalla mashalla allah akupe kilala laheli duniani na ahla
2026-11-21 12:17:51
5
ammy G :
mashaalah nampend mama pia
2026-11-21 19:30:44
3
rey🥰🌹🥀 :
mashaalh
2026-11-21 16:58:37
2
bless daffa :
jmn mbn nalia😭😭
2026-11-21 17:36:32
1
Cute Nashlly :
Mash allh ❤️🥰
2026-11-21 16:10:15
1
maindahosseni :
pol San mashalla
2026-11-21 18:04:40
1
Juma Mohamed :
2026-11-21 17:40:05
1
Swelhat silimu :
mashallah
2026-11-21 18:21:40
1
Amina Swalehe :
dah! ila wameimba kwa huzun mno wawezasema yamewakuta kweli Yan? ila kiukweli ktk hii Dunia kosa vyote but cyo kufiliwa na wazazi wawezakufuru ati duh! Allah awarehem wazazi wangu wote ktk safari Yao ya mwsho rabbii ghufrii wali wadaiya ,innalilaah wainnailayo raajghuun
2026-11-21 19:16:49
1
furaha :
Masha Allah 🤲🥰
2026-11-21 09:46:25
1
~amida🥰~ :
mashaallah
2026-11-21 08:56:15
1
Nono wa mama👌 :
🥲🥲
2026-11-21 15:49:45
1
Fatuma Hassan :
naipenda kuiagalia halafu najikutanalia mwenyewe
2026-11-21 18:22:02
1
mwanasalim546 :
mashallah
2026-11-21 15:57:36
1
babuali255🇰🇪🇹🇿 :
mashallah
2026-11-21 13:08:45
1
Raziah Nechesa :
mashallah
2026-11-21 08:48:59
1
Ahfat :
@aMashall
2026-11-21 15:13:38
2
smart official tz :
mashaalah
2026-11-21 12:51:57
2
Amina Manda :
Mashaallah wanetu Allah awajaalie kheri nyingi
2026-11-21 18:53:43
1
Amina shabani :
🥰
2026-11-21 18:52:29
1
farination :
mashaallah 🥰🥰
2026-11-21 05:35:38
1
To see more videos from user @official.irfan_, please go to the Tikwm
homepage.