najua haiwahusu ila nmekuwa best student in literature and seminar facilitation Leo hii😁
2026-11-20 16:44:35
73
Kalinjuma Elias :
ISHU NI KWAMBA MPINGA KRISTO ANATAKA KUKALIA KITI
SO TUJIANDAE KWA AJIRI YA DHIKI KUU
Maana pesa zitaondolewa tutabaki bila hela
2026-11-20 17:07:05
26
Zaytuny 🦚Lamborghini :
hapa nimeelewa maana kuna watu walisema aliens wanavamia dunia
2026-11-20 15:34:27
11
Blessingsalome favour Mishishi :
Mwendo kurudi Kijijini Kwetu tu
2026-11-20 20:38:32
2
01_01_PROSPERITY :
introduction ya digital system
2026-11-20 16:51:46
4
Unique babe🇹🇿🇹🇿 :
niolewe tu maana me sitaweza😁😁😁😁
2026-11-20 16:35:15
12
icky💕🫧 :
Yesu angerudi tuuh maana uwiiih sjui kama natoboa😂🙌🏽
2026-11-20 16:11:52
9
mimah❣️ :
mwezi wangap inaaza iyo ishu
2026-11-20 20:10:41
1
Sands :
sawa miaka ya nyuma ilikuaje?
tupate historia kwanza manake haya sio mambo yanatokea mara ya kwanza
2026-11-21 02:45:05
0
Thom :
ni mara ya kwanza izo nchi kuingia kwenye uchaguzi?
2026-11-20 21:59:09
1
🌸Keilah🌸 :
sasa tuhifadhi ela. benki zaidi ya moja au tuzitunze nyumbani? au vyote kwa pamoja 😅😅
2026-11-20 16:53:14
1
Cakes by Ikah :
Yani hii 50,000 yangu ndio niisambaze kwenye ma bank tofauti tofauti na ibaki akiba ndani😂😂😂aah
2026-11-20 22:30:22
1
evy :
Asante Yesu tumekaribia nyumbani
2026-11-20 16:25:15
14
Evelyne Mirumbe❤️ :
Mungu aliye weka upinde kuzuia mvua kali atazuia huo mpango maan yeye hashindwi
2026-11-21 06:11:56
2
Just Mimah :
Umeielezea vzr maana nilikua naona ona tu hili likizungumziwa kwenye mitandao
2026-11-20 15:31:29
14
Rommy :
hapa wakupona ni sisi wakulima tu😂😂😂
2026-11-20 16:45:45
5
lexybunny💙💦 :
only one second
2026-11-20 21:10:26
0
RickMamii_shoes :
Anajua Mungu tu
2026-11-20 17:47:16
2
Manyessa Wisdom show :
MTIHANI HUO
2026-11-20 20:13:47
1
Silver :
Iyo sio kwa tanzania mkuu hii nchi imebarikiwa sana kuhusu chakula ni sisi tu hatujijui
2026-11-20 18:24:44
4
Zauya_Collection :
mmmh utanifanya niongezee mkataba mpka passport yangu hiishie huku 😂😂,
hapo kwenye Ikitokea tumuachie Mungu tu 😂🙌
2026-11-20 20:20:48
2
Mizani_ya_Imani :
aaa wapiii, sisi swala wapo
2026-11-20 18:27:59
2
MAOMBI NA UPONYAJI :
kwani sikuzote uchaguzi siupo kwanini iwe wakati huu...huu nimwisho wa Dunia
2026-11-21 04:29:49
1
bomzy Khassan0 :
hapa broo umeeleza vzr ,,,
2026-11-20 17:29:22
2
Kalinjuma Elias :
ILI MPINGA KRISTO AWEZE KUTAWALA NI LAZIMA YEYE PEKEAKE NDO AWE TAJIRI Wengine tusiwe na hela ndo maana wanataka kuingizwe kwenye digital calens
ili one day wazime network tuwe maskini
2026-11-20 17:09:29
3
To see more videos from user @dukahuru, please go to the Tikwm
homepage.