yani we sahivi utasapotiwa ili kumshusha marioo, akshadondoka marioo halafu we ukiwa juu haohao wanaokusapoti wataanza kukupiga vita ili udondoke......ipo siku mtajuwa kwanini alikiba alichagua muziki tu na hayo mengine kawaachia wengine.
2026-11-21 09:48:41
4
wild rexx :
Utakuja kumuelewa marioo mbeleni
2026-11-20 17:24:20
9
call_me_komy :
Mimi ibraah nipo upande wako nmeacha Hadi chuoo nifuatilie ugomvi wenuu 👊
2026-11-21 20:46:58
3
Danny pesa official 🇹🇿🇿🇦🇿 :
ibrah ni mmoja tu!
2026-11-20 17:22:06
19
princetz.1 :
Right…..😅
2026-11-20 15:58:49
10
Bachan :
dogo Smart sanaa
2026-11-20 16:03:16
19
prettygirl :
ibra penda sana
2026-11-20 17:23:18
10
oddo dinabella baby :
ibra usiimjb acha nae
2026-11-21 10:51:07
2
wabusara_06.kj :
😂
2026-11-20 20:29:07
0
bwakila girly❤️👸 :
kamuaribia kwelii
2026-11-21 19:41:33
1
UPSET DURK :
right 👍
2026-11-20 15:57:11
8
BEKA :
Maisha ni safari kwaiyo usidharau mwenzio atakama hana hela ibra to the world 🔥🔥
2026-11-21 16:54:12
1
chufu wonder's (Yuzzo balole) :
tutaaminije kama marioo kaongea uwongo wanadam bhn