@drjimmytz: Viungo: - Kitunguu 1 kikubwa 🧅 - Kipande 1 kikubwa cha tangawizi 🫚 - Punje 5 za kitunguu saumu 🧄 Jinsi ya Kuandaa: 1. Kata kitunguu, tangawizi na kitunguu saumu vipande vidogo. 2. Weka vyote kwenye sufuria yenye maji. 3. Chemsha kwa dakika 15 kwa moto mdogo. 4. Acha ipoe kidogo, kisha chuja. Jinsi ya Kutumia: Kunywa mara moja kwa siku, asubuhi. #TibaAsilia #AfyaYaMwili #AfyaKwanza #DawaAsilia #AfyaBora