watu wakiandamana kudai haki viongoz wanasema wanataka hakigan dah hii nchi mbovu
2026-11-20 16:56:43
26
Buthalia_hussein :
Mlikuwa na kibali cha ujenzi?
2026-11-20 16:08:49
3
malkhani :
ila kuna mda serikali wanakoroga iyo nyumba ilikuwa inatengenezwa usiku na mchana mara ya mwisho nimepita apo watu wanaeka ma greal nakuja kupita kesho yake nakuta maaskari na bunduki na wako wanaivunja nilishindwa kuelewa
2026-11-21 03:24:47
3
Jr kipepe :
Dah sio powa
2026-11-20 16:43:27
1
bimbilika lounge :
hamjui maana ya hizo X hapo.
2026-11-20 17:48:36
2
Mr safari :
arusha pesa mnaijua xn m25 si nyumba nzima kabs😳
2026-11-21 02:12:49
0
Uk Arusha :
hii serikali ni mbovu jamniii aya nyie amsikii 🤣🤣
2026-11-20 16:43:47
11
Joyce levava :
ni lemara?
2026-11-20 17:40:42
3
Izacki RNLD :
Hii nichi kunasehem imetoboka jamn
2026-11-20 15:34:49
7
stellah ❤️🇹🇿 :
siwamebomoa subilien miaka kumi kujegwa hiyo barabara
2026-11-20 17:54:10
2
Ture Man😎 :
Yani Tanzania Ilikofikia Ni Mungu Atusaidie
2026-11-20 17:32:41
1
Dennis Mosha :
sasa mbona pana x
2026-11-20 16:54:20
1
martha😊❤️ :
guys mwombeeni na mama yangu asije kunyanganywa kiwanja chake baba yake alivofariki tu kuna watu wanataka kumnyanga’nya baada ya kukataa kuwauzia 🥹🥹🥹🥹
2026-11-20 22:00:46
1
Heath 💝 :
Hii nchi kuna jinsi haifai ata kuisimulia
2026-11-21 01:24:58
1
calvin_357 :
Kuna watu wana roho mbaya sana duniani
2026-11-20 17:27:35
1
Dickson John :
SASA kama wana bunduki na Gari la police unatgmea ni wananchi 😳😏
2026-11-20 16:23:34
2
William Benjamin :
kwass Kila mtu anajichukulia Sheria hii nch inaenda wap
2026-11-20 18:30:12
1
Justin Agustino :
Eti wasijulikana
2026-11-20 17:39:39
2
Federico@ :
kazi na utu 2026
2026-11-21 09:01:59
2
amanitemanyika591 :
mi nawaangalia tu
2026-11-21 10:30:53
0
Tadeo Jumanne :
Eet milion25au30 kwelii jmn
2026-11-22 14:11:02
0
deo154 :
duh nchi haiko sawa
2026-11-21 10:09:22
0
@kanisa la t.a.g. kibirizi :
aliewalekodi atutumie video kama nikweli jamani mbona mnafanya ivyo
2026-11-22 05:19:28
0
niko ambae niko :
asee
2026-11-21 11:08:03
0
William Benjamin :
mama uko Arusha tusaidie
2026-11-20 18:30:53
0
To see more videos from user @swahilimedia21, please go to the Tikwm
homepage.