@dr.jessy09: Zifahamu chanjo anazotakiwa kupewa mtoto#viral #foryoupage

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 17:45:35 GMT
19130
1201
41
127

Music

Download

Comments

gladnessthobias
gladnessthobias :
Kupim uzito ni lazima jmn.. maan nmechok mm kila mwez lzm niend clinic😌
2026-11-21 13:07:31
0
user9913393572237
lyne 360 :
iv private hospitals ni wanatoa izi chanjo buree?
2026-11-21 13:35:00
0
ramona.kim4
Ramona Kim :
ivi zile sindano za pepopunda mfano ukichoma 4 afu ukabeba mimba je unaendelea ulipoishia au unaanza upya.
2026-11-20 18:12:10
2
trust.no.one4047
trust no one :
waah 6weeks ni sindano nne Mimi kwisha
2026-11-20 18:05:18
0
jnaalexsung
ma v&D :
mikwangu hajapata yamwaka nanusu
2026-11-20 17:55:36
0
dominicachavala
Min ibrah🌹 :
Docta naomba kuuliza ni lazima kurudia chanjo ya begani ikiwa alama haijatokea, ikiwa ndio kwanini?
2026-11-20 19:36:15
0
imaani67
user9735308711445 :
ubarikiwe j3 ndio tunakwenda chanjo ya pili
2026-11-20 19:54:09
1
kukhu72
kukhu :
Na mbona after chanjo mtoto anakua na joto sana?
2026-11-21 17:11:01
1
patrishacharles83
Patrisha Charles :
dada mwanangu me anashida ya choo kidogo akiwa anajisaidia analia
2026-11-22 06:10:17
0
aidan.ndamwesga
user 1520 :
ukichelew kupata hiz chanjo inakuaj
2026-11-21 10:43:22
0
sabra___
Sabra :
hiyo penta inavoumaga sasa Nawaza penta 3 kwakweli
2026-11-20 18:15:00
1
masanjalubana
masanja health🩺💉&funny🤣🤣 :
miezi tisa anapata surua1 na ipv2☺️
2026-11-20 19:28:54
1
helenshirima335
neny :
nilikosea mtoto wang nimemchoma chanjo ya wiki 14 na alikua na wiki 10,je inamadhara? na nifanyaje?
2026-11-21 19:18:29
0
severakauki
Ma G :
docta nimekusikiliza kwa makini sana nilikua naomba kuuliza je mtoto akifikisha miezi 9 kamili ndo anapaswa kupata hiyo sindano maana mi nimeambiwa nirudi tarehe ambayo anafikisha miezi 10 na nikaambiwa tena tuwe wengi ndo atachomwa na kama tuko wachache hapati
2026-11-21 18:49:10
0
user11483819749000
[email protected] :
mie mwanangu amechom ya miez2 lkn sehemu imewek uvimbe na weus kwa juu nikawaida au
2026-11-21 20:19:38
0
magreth.gau
Maggie🦂🥀 :
daa Jessy mm mbn wangu ameandikiwa tena aende akifukisha miezi4na wiki 2 au nisawa maan tulienda ya mwezi huu ni ya miez3
2026-11-21 13:07:14
0
valentinamrosso0
vaileth :
jamani mbon wangu mm ana miaka9 ndo nakumbuka hiyo chanjo ya bega hajapata??
2026-11-20 18:11:34
0
jaymelody2025
😘JAY KUYU😍 :
Docter mtu akijifungua kwa opareshen anatakiwa akae muda wamiaka mingapi kubeba mimba nyengine
2026-11-20 20:06:12
0
aidan.ndamwesga
user 1520 :
et mama mjamzito anatakiwa kuchomwa sindano ngap akiwa mjamzito uzao wa kwanza
2026-11-20 17:56:30
0
kingmachokaa
Simith :
Mbona Masai wanaish tu porini bla hz chanjo? Tuwe makin sana na wazungu na hz dawa
2026-11-22 04:01:24
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About