@waziri_wa_comments: Ukipata comment ya kuchekesha nitumie inbox tucheke wote 🤣

waziri_wa_comments
waziri_wa_comments
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 17:49:06 GMT
32863
1360
136
192

Music

Download

Comments

ukht.hasanath
ukht.hasanath :
Kuna Mimi Sina cheti cha kuzaliwa 🤣sina Nida🤣 hivi Mimi ni mtu wawapi🤣🤣🤣
2026-11-21 20:04:22
2
future.551
FUTURE 🥀🥀☘️ :
Hatimae mungu kajbu maombi yangu me na kuoa wapi na wapi😳😳
2026-11-21 11:21:17
13
lucyrobart3
lucy roby :
😳😳😳😳sasa olee mtu aniulize ntaolewa lini wkt waziri kanijibiaa
2026-11-21 19:01:11
0
phillywizzy.willi
Phillywizzy Williams :
ivi ndio vitu nilikua navitaka
2026-11-21 20:50:04
1
bite.kessy6
bite kessy :
asant mungu kwa nida ivi bora nile pata tu
2026-11-21 14:11:44
3
omarsaid8992
Omar Said8992 :
mbna mumecherewa kutoa tarifa sisi wengine tumeshaoa daaah
2026-11-21 11:37:20
6
annysia203
Annysia🎀 :
kwhy ambao hatuna NIDA c tunaruhusiwa kutoka kwa kina ndoa jmn
2026-11-21 19:34:14
0
user5548532286075
Princess :
Wakiniuliza fatuma mbona uolewi Sina nida😂😂😂
2026-11-21 18:32:17
0
kasoga0fficial
kasoga shakaboy :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 15:19:56
0
luu_nin0
💦 :
tuloolewa na hatuna nida tuachwe
2026-11-21 17:37:29
3
mkina.kumbulu.sta
Mkina kumbulu star :
mwanamke anaetaka ndoa, anitafutie nida,🤔
2026-11-21 08:25:40
9
edinajahilo
Edina Jahilo :
nshapata chakujibu
2026-11-21 19:43:30
1
last.born59390
Last Born 🇹🇿🌍✈️ :
makofiiii[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 18:00:27
0
bmtweve
bmtweve :
kwani nikikaa na mwanamke miaka mitano bila kumuoa sheria inasemaje
2026-11-21 13:37:15
0
kingmisitu
king misitu :
kumbe mungu amenikumbuka jamani
2026-11-21 08:48:18
4
mussa2058
Mr Mussa👑 :
saw baba hoja imepita
2026-11-21 08:30:29
3
jax_comedy
JAX OG🇹🇿 :
@JAX OG🇹🇿:basi tulio kua na vitambulisho vya kupigia kura tutafunga hata ndoa ya jamvi sio mkeka tena
2026-11-21 12:33:05
3
g.mkatoliki3
G mkatoliki :
mungu baba wetu unajua kutupendelea[Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 09:35:42
3
user7732716192921
hadija seif :
safiii kabisa🤣🤣
2026-11-21 09:14:29
2
artashastapatric6
mtanzania :
mungu amesikia dua yang
2026-11-21 08:11:18
1
fulltime636
FROLIAN FUTAKAMBA 💯 :
hata mm sin nida na Sina mpango nayo😏😏😏
2026-11-21 09:47:29
1
stellaswai656
Stella Swai :
ila dunia ina watu wengi
2026-11-21 15:06:28
1
officialmnyamwez0
official mnyamwez o :
Hat mim nimepat kisingizio make nishasumbuliwa San hap ni mwendo wa Kula maisha Kula maisha Kula maisha mara uzeeee
2026-11-21 14:11:44
1
nelson.usiri
Nelxung :
nilikua nawaza nawaambia nn wazee basiiikauli ya kwamna kukubalian n serikal
2026-11-21 07:47:32
1
marry.enmanuel
🌸miss marry🦋 :
vipi na kwasisi waolewaji tunaruhusiwa kuolewa bila nida
2026-11-21 13:01:38
1
To see more videos from user @waziri_wa_comments, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About