mie Nina swali jaman ila sio kwa ubaya. kama mtume aliziliwa akafa na akazikwa kwanin amnaga picha yake? ila kama sikosei Kuna viatu yake sas iweje Kuna viatu alafu picha yake mtume isiwepo sio kwa ubaya nimeuliza tu
2026-11-21 05:24:45
9
jojo💝 :
afu sisi tunaambiwa kufanya birthday ni haramu😱😱
2026-11-21 06:31:11
20
Phina Ndagula :
Leo hawapo wa proud😂😂😂na birthday
2026-11-21 05:34:11
2
JUZZORHD :
BAAASIIIIII MMEKWISHAAAAAAAAA😂😁😂
2026-11-21 11:35:32
1
mashi :
😂😂nilivosikia tu birthday nimecheka😂😂😂😂,tumsifu yesu kiristo
2026-11-21 12:03:26
0
Missing my mum :
proud hawapo leo
2026-11-20 23:28:45
0
fact :
naomba hii ipostiwe tena na tena mwez wa kumi na mbili tarehe 24-25 😂
2026-11-21 04:36:56
5
Jasylove❣️ :
eeeh🙆🙆 kumbe kiarabu kimeficha mambo meng😂
2026-11-21 10:04:51
3
suhayllah🍒lssa🇹🇷🇹🇿🇵🇰 :
unanichanganya tu Wacha nijiamulie mambo mwenyewe
2026-11-21 10:58:37
0
Marenga :
kumbe alaaah[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 06:38:40
0
user3307446779551 :
Sasa hadithi zipitiwe tena, manake nyingi ni dhaifu
2026-11-21 04:10:58
1
jenipher :
proud to be wanapita tuu
2026-11-20 20:50:35
0
juli :
haya sasa,haya sasa
2026-11-21 09:01:01
0
Herbert Msangawale :
kazi ipo leoooo
2026-11-21 09:58:55
0
village pastor :
HAPPY CHRISTMAS 🎄🎄🎄🎄✝️✝️✝️✝️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🎄🎄🎄🎄
2026-11-20 19:17:50
7
TSITSITSI CHINEKE🦺✈️ :
Hapo nashindwa kuwatetea waislam wenzangu 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
2026-11-21 07:41:01
4
Aggie 💕 :
hee birthday kwao si haramu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 09:19:56
1
haule michael :
kumbe maolidi ma christomas sawa tu
2026-11-21 05:09:41
4
Swaleh Mtakatifu :
hizi dini zinachanganya heri uamini Mungu kuliko dini
2026-11-21 05:02:23
2
Agripa :
Bwana yesu asifiwe wakristo
2026-11-21 07:43:14
3
user7730962380734 :
Amezaliwa nani
2026-11-21 09:48:36
1
To see more videos from user @mwl_michaelsindi, please go to the Tikwm
homepage.