@focustvtz: RC Kheri James anasema hakuna kazi ngumu Duniani kama kuishi na mtu ambaye hana Msimamo. RC Kheri James aliyaeleza hayo wakati akikazia maarifa akiwataka Wanaume kuhakikisha wanakuwa na Msimamo kwenye aina ya malezi wanayotaka kwa watoto wao na msimamo kwenye hali ya Uchumi wanayotaka kwenye familia zao. #FocusTVTanzania