nilijiambia mwenyew ntapona ntapona 💔💔 yey pia nlmtext kua okay kua na aman m ntapona japo sijui n lini ntapona. namshukuru Mungu am happy now nilimoveon na nmependwa yan napendwa na ninazingatiwa balaaa
2026-11-20 21:28:03
14
ms__2903 :
Sad truth🥹🙌🏻
2026-11-22 02:02:21
0
user5092238663057 :
I love to hear that
2026-11-22 19:47:24
0
Momo girl 💕💓 :
ogaopa sana mtu anaependa sana ila akiumizwa anaumia sana muda mrefu Yani unachukua.muda mrefu kumove on ila huyo mtu akimove on awezi kukurudia kamwe ata upige got huyo mtu mwenyewe ndo Mimi hapa na napitia changamoto ya kumove on now 😥
nimejaribu sana wallah🥺🥺 aende tu sijui kama nitaanzisha husiano lingine tena wallah eh naogopa sana
2026-11-21 04:54:14
9
Eng Aman JR :
dah aiseeh hiyo stage nimeipitia kama wiki 2 zimepita, inaniumaa inanichukua muda sanaa lkn nashukur mungu naanz kuzoea taratibu
2026-11-21 19:49:45
5
🎀Ah.....sh🎀 :
My situation right now
2026-11-21 06:16:11
8
Tayna🦋🌹 :
Niliishinda hii vita kwa kishindo kikubwa haikuwa rahisi ila niliweza daaah aiseee japo inaumiza mno mno,, Sasa hivi anataka kurudi wakati ambao tayari ameshachelewa moyo ulishafunga kwake na nilishasahau Sasa hivi yeye ndoanateseka jamani basi tu
2026-11-21 17:20:04
6
Innahmaali :
My situation na nina watoto wake wanne aisee sasa hivi nimebadilisha sipigi simu situmi sms simtafuti in short akipiga simu nampa watoto wapokee IN SHORT NIMEMUACHA AKAPENDE KINACHOMPA FURAHA
2026-11-21 15:28:18
5
CHUGA ELECTRONIC :
namshukuru san mungu saivi ata nimuone sishituk nacheka tu 🤣🙌
2026-11-20 21:30:14
13
fragaly@2 :
Sasa inakuaje maana nilimuacha aende sahiv akiniona analia 😂😂 alafu naona kama sio type yangu Tena hiv vitu ukivuka vinachekesha sana😂😂
2026-11-21 08:28:54
8
icore12 :
Ukifika hii stage, utateseka sana. Na inaweza ikakuchukua muda ili na wewe umpate wakwako. Na unaweza pia usije wahi kuoata tena, ndio ikawa anguko lako la maisha yako yote.🥺😭some of us, we are not destined to find love, and be loved. 🚶
2026-11-20 22:24:54
5
To see more videos from user @officialvillatz, please go to the Tikwm
homepage.