Me najifunza kuhus atyla yaan ukitaka jambo lako lipambanieee mpka mwshooo!!! Yaan pambana mpka uhakikishe umepata ulchotaka😂😂
2026-11-21 08:03:41
43
Gift🎀🤍 :
Mm Naomba niwe na Uvumilivu tu niisubiri huku huku kwa Azam tv 😂😂😂
2026-11-20 20:56:21
66
@aiem_sham🥀 :
me naskia tu anenoulerlbelkidaebalirhdlwyeopxbmqg
2026-11-20 21:17:27
9
It's Meenah_TZ🍂🖤 :
Kwan huyuu nae nan😳
2026-11-21 08:17:17
7
salhum😍 :
team nestlihan hapa angalau tumepumzishwa mateso😁
2026-11-21 10:19:03
10
Rimibi Duncun :
Jmn mdgo wa Neslihan nimemic alikuw anafuraisha
2026-11-20 20:30:51
15
🌺🌺akram🌺🌺♑ :
huyu kaka Tena mpya ehhh
2026-11-20 20:23:13
7
chonge🙏 :
et Jamani Kwa huyo Kaka ninaniiiiiii nauliza tu
2026-11-20 21:21:28
11
Nelly kasanga :
Kwahiyo Neslihani ataenda kuishi na murati Tena?
2026-11-20 20:55:08
18
LeeMussah :
Hapo chini si kuna sehemu ya see translation ukigusa tuu utapata english subtitles, huyo ni cousin wa Coray yupo kwa ajili ya kisasi cha kaka ake, na Neslihan kaenda kwa Murat kwa sababu Batu alitekwa na wote ulikuwa mpango wa Muurat ili Neslihan Akaishi pale Ila Neslihan anapanga kukaa kidogo then kusepa kuendelea na maisha yake🥰🥳🥳😂
2026-11-21 05:36:43
9
abigaili :
mmh kifurushi kimeisha nachanganyikiwa mie nichangieni bc hata jerojero😂
2026-11-20 20:33:51
19
-Dynie🏵️🌹 :
huyu kijana ni nani tena
2026-11-20 20:24:28
11
Mishizahran :
Jamani sikua Atilia akiwa na Neslihan napika pilau 🙌🙌😂
2026-11-23 08:14:53
2
Clevery90 :
Wa kwanzaaaaaaaaa
2026-11-20 20:21:34
6
ayman :
avkagcdec mmk
2026-11-23 17:46:27
0
Salma Sharji :
ndugu yake corai atakuwa
2026-11-20 20:36:14
5
Mom ayan🐾✨ :
Kuona ninaona ila sasa wanacho kisema ndo sielewi
2026-11-20 22:11:25
7
Shaymah Shilima :
ap n dalil za ukingon juu at akin murat na damla hawajafungwa
2026-11-20 20:47:41
6
MarMalla :
yan hii series haipoiiiii .... 🔥🔥🔥 unahisi km inaishaa lkn wapp😂
2026-11-23 16:52:36
0
Zila :
fox inaoneshwa sangap
2026-11-21 03:45:36
1
vccl41 :
Hiii lini tena???
2026-11-23 14:43:32
0
Rosey Robson😍 :
Au me ni mturuki mana naielewa hii lugha bila kusoma 😂😂😂😂😂
2026-11-22 05:54:57
1
cryingmom0 :
Yote Tisa kumi mimi kuna muda huyu murat hua ananifurahisha na misemo yakeee alooo😅😅😅
2026-11-21 16:48:04
4
maua :
ss wa Azam bd
2026-11-22 10:35:32
0
To see more videos from user @muzne_dream_shade, please go to the Tikwm
homepage.