@focustvtz: Mkuu wa mkoa wa Iringa, Kheri James, awafunda wanaume wanaokimbia majukumu ya kulea watoto wao. RC Kheri James alitoa ujumbe huo wenye msisitizo maalum kwa wanaume, wakati akizungumza kwenye Kongamano la Wanaume wa Mkoa wa Iringa, Novemba 19, 2026. #FocusTVTanzania

Focus TV Tanzania
Focus TV Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 20 November 2026 20:20:27 GMT
130455
7868
303
1360

Music

Download

Comments

mamtu255
Aishoo :
baba ahsante kwakuwakumbusha hao wengune watoto wanamiaka 10 hawajawah kumuona baba😇😇
2026-11-21 05:35:37
34
makhtum.nassor3
Makhtum Nassor ❤️🫂 :
😂😂😂😂😂Huyuu wanguu kaniachaa na mimbaa ya miezi 3 yan hataa mtt hata muonaa 😂😂😂😂
2026-11-21 11:13:06
10
assured427
ASSURED😍 :
mwanaume alinizalisha hana uduma yyt am doing my best to raised my son. bad enough anamaneno machafu sanah na ananitishia akikua tuh mtoto anakuja kuning'anya anasema Shelia anaijua . mind u from pregnant mpk najifungua mtoto sasaiz ana 2moths it's me.
2026-11-21 11:43:43
2
bae80944
naina✨️ :
na hii imfikie popote alipo
2026-11-21 09:10:32
6
anigrandy783
🌹 :
huyu baba sanamu lake tulijenge wapi wapendwa!?
2026-11-21 14:04:18
2
user501031810815
Bintij :
lkn kuna hayo mamwanaume mengne yameiona hii lkn bado tu yanalelewa watoti
2026-11-21 12:20:38
3
wisegirl024
🧕🍒ukhuty شرفة 🎀🦋 :
umechelewakuwaambiatupotumawaleleayaantupolelelelenawatotowetu jamannifundishenikuacha nafasi😂😂
2026-11-21 14:16:00
0
user8633881936507
jenipha mfungo :
sema baba mungu akuweke
2026-11-21 07:35:59
17
mgeni127
Mgeni@12 :
wambie
2026-11-21 14:37:43
0
sada.kitambi6
Sada Kitambi :
nikweri[Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-21 19:58:31
0
user4163063886751
saidi mfaume :
sory I don't know swahili mshamba ni mtu wa namna gani?
2026-11-21 11:56:26
0
fadhila.hamisi81
Fadhila Hamisi :
asante
2026-11-21 17:57:07
0
eliza.hosea44
Eliza Hosea :
Haswaaa
2026-11-21 09:57:55
0
user2749099498500
vicky :
Haki we baba wewe! umejua kunifurahisha
2026-11-21 11:32:32
8
geeh.250
Am geeh🤍 :
baba upewe maua yako🥰🥰🥰
2026-11-21 10:50:59
5
anitahndunguru
𝘼𝙉𝙄𝙏𝘼🔦 :
sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaa 👏👏👏👏👏
2026-11-21 12:33:20
3
aminatuswago
Aminatu Swago 🇹🇿 💰 🇴🇲 :
wanaume saivi kukumbia majukumu washaazoea hawajui watoto ni baraka na wanareta ridhiki na kufanya uwe na mafanikio
2026-11-22 01:41:43
1
officialyuy
officialyuy :
Ewaaa
2026-11-21 13:39:53
1
evaaaaa7017
Evaaaaa :
mkuu tuma namba ya mpesa
2026-11-21 09:48:59
2
beatrice.ludasi
BEATRICE LUDASI :
baba hapa kwetu kazia kuna shida ya ulezi hata mimi.nimeachiwa
2026-11-21 11:03:32
2
gloria.chuwa
Gloria Chuwa :
hamna ata wanaume sasa hivi
2026-11-21 11:20:06
2
aishahaji43
aishahaji433 06846dvui :
sina tu zawadi ningekupatia umeongea neno kubwa sana
2026-11-21 09:02:01
2
bintmakalla214
Mama B Collection :
Jamani Jamani kwenye watoto kazia maana sio poa
2026-11-21 18:10:28
1
user6155785322959
my apple :
hakika wambie wenzio wanaume wengi hawajui wajibu wao
2026-11-22 04:24:50
0
rebeccasamuel59
It,s Rebby :
namkubal saaan huyu dingi🥰
2026-11-21 11:36:42
1
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About