@officialruby_: 🚨 UNASUMBULIWA NA TATIZO LA KUVIMBIWA? Unachokula kila siku kina mchango mkubwa katika afya ya mfumo wako wa mmeng’enyo wa chakula. Vyakula vyenye nyuzinyuzi (Dietary Fiber), kama matunda mbalimbali , mboga za majani na nafaka zisizokobolewa, husaidia kuboresha usagaji wa chakula na kurahisisha upatikanaji wa choo. Pia, kumbuka kunywa maji ya kutosha na kufanya mazoezi mara kwa mara. Afya bora ya utumbo huanza na uchaguzi sahihi wa maisha! 🌿 Jitunze kwa kufanya maamuzi sahihi ya kiafya. Follow NERALABS kwa elimu zaidi kuhusu afya na ustawi wa mwili. #Neralabs #AfyaYaUtumbo #Kuvimbiwa #DigestiveHealth #AfyaNaUrembo