Apa ni kusaport tu man tukiwachekea hawa vizazi vyetu vipo ktk mtihan mkubw san
2026-11-21 05:26:08
0
lalib_01🥷🇹🇿 :
kwann watengwe na jamii wao pia ni watoto wana wazazi kwnn wasichkuliwe wakaekwa pamoja na kupewa nasaha waache iyoo tabia wale n dungu zetu🥺🥺 ata wakawa vipi hatuez kuwatenga mnaharibu uislamu kisa mmbo mnaeza kuyajdli na yakaisha.🥺🥺🥺 ina sikitisha sii waislamu ndo tupo mble na kuangamiza jamii sote n ndugu wengn sio kupenda kwao kua ivoo🥺🥺
2026-11-21 05:47:29
0
To see more videos from user @high.bad, please go to the Tikwm
homepage.