Congratulations, Dr. Joyce! Hard-won, well earned, and truly inspiring.
2026-11-21 11:08:46
6
Getruda Emmanuel :
Phd ya familia🥰
2026-11-21 06:23:46
24
MyEastAfricanFamily :
chuo gani
2026-11-21 03:43:40
6
Tripplegcake🌹 :
New Dr in town
2026-11-21 08:13:17
3
Doe Love :
af Kuna Mimi Nina ka diploma najiona n mkubwa kusoma ntapoteza muda🤣
2026-11-21 03:59:17
42
Charo :
ndo haba mlez au sifa tu
2026-11-21 06:07:14
11
Apostle Dr Duwe :
Hongera sana New Dr in town
2026-11-21 05:11:09
2
_idalucky_ :
Dr.Joyce Kiria... 🥳🥳🥳🥳🥳
Najiambatanisha na baraka hizi kusoma hakuna mwisho
2026-11-21 11:13:39
28
SEW TREND👗 :
hv kumbe inawezekana na mm nkasoma na hii la saba yangu nkajua kuwa Dr ? maana huyu dada wakat na mfatilia anasema alikuwa house girl baadae akaenda english course alafu nn kikaendelea hebu mtu anipe matumaini na mm ninandoto ya kuwa hata Dr wa wanyama jmn
2026-11-21 13:39:42
3
Grace Kiwuyo :
hongera sana Joyce
2026-11-21 18:42:46
0
Cathyrich_store :
Soon na mimi in Jesus name
2026-11-21 18:22:31
1
user3450854822259 :
Chosen my twiny❤️❤️❤️❤️
2026-11-21 18:06:06
0
Amaizing Grace :
Hongera sana nimefurahi na napenda sana wanawake wakipiga atua hvi
2026-11-21 08:51:51
13
Maimuna Batare Kassim :
Congratulations dear
2026-11-21 12:04:51
0
Eche♥️ :
ata nyie si mnaona ilivyo raha😫🤭🥰
2026-11-21 09:27:22
4
😍 :
wengine huwa wanaona aibu kutambulika kama wana watoto proud of you wajina wa mama ang🥰🥰🥰
2026-11-21 12:03:34
3
Hope restaurant & bakery 😋 :
Hongera sana dada sanaaa.sio rahisi umepambana🥰
2026-11-21 09:45:41
4
MaarifaMixer,ChristianBased :
Nimechukua kinachonihusu.
Ndoto hupambaniwa husimamiwa kwa nidhamu.
Hongera dada.
2026-11-21 04:10:17
20
helena💞💕💞 :
🫡🫡🫡pongezi madam
2026-11-21 13:15:12
2
lucmas :
hongera sana
2026-11-21 11:34:40
1
Zulfa Miraj @951 :
Kwa kweli hongera sana dada DR JOYCE nyie sio rahisi ni ndoto yangu jaman ila bado sijaifikia nimetuma Kwa bachelor degreeweeeh mwaya HONGERA mnooo weeeehe [Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-11-21 06:11:00
4
Utna-badi :
Hii niujumbe kwa wakina mama watoto au mimba zisiwe chanzo cha kutotafuta elimu za juu ..👏👏👏👏🌹hogera
2026-11-21 13:12:19
1
MOM G :
Ningekuwaga na uwezo hata mm kila sehemu ningekuwa natembea na mtt wangu hadi choon 🙃🙃
2026-11-21 06:37:38
3
Kaspecial Anneyz💞 :
mpk nimetamani kusoma wallah!!
2026-11-21 12:00:35
1
To see more videos from user @joycekiriaofficial, please go to the Tikwm
homepage.