@zelott_big: IBRAAH anahoji "Marioo" amemsaidia nani na nani? "Chino amesimama mwenyewe" - Ibraah. #kenyantiktok🇰🇪 #trending #story #tanzaniantiktok🇹🇿 #viralvideo

ZELOTT
ZELOTT
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 04:43:55 GMT
160588
19879
308
102

Music

Download

Comments

jastini.seleman0
Jastini :
sema ibra ni handsome kuliko marioo
2026-11-21 15:43:40
148
chriss.store63
chriss store :
timu ibra tujuaneee apaa
2026-11-21 07:05:35
552
fettyree2
🪷fettyree🌸🍀 :
ww umemsaidia nani
2026-11-21 11:14:21
38
user7544361303170
veedy☠🎧🔒 :
me staki bhana
2026-11-21 06:18:06
73
twevethegreat
twevethegreat :
chino kasaidiwa na marioo uo ndio ukwel kampa makolabo makubwa mengi makali tulia
2026-11-21 07:06:35
93
kichunana5
Kichunanah🥀 :
ibra what ever what unajua na utazidi tu kuwa zaidi yao just keep it up right
2026-11-22 01:29:10
1
jinevajully7
jinevajully7 :
Ibra mi nipo na ww lkn hizo right zmezidi bana
2026-11-21 09:00:55
171
gee269456
Gee :
nyie mimi Ibrah akicheka na mimi najichekesha😅
2026-11-21 13:47:45
29
kamamaah7
Lulu✨️ :
Ila lastborn 🤭 mi staki bhn
2026-11-21 07:43:16
16
rassimasumail
Rássima Sumail🧡 :
Mbona Analia ibraah?
2026-11-21 10:53:29
1
haromohamed2
haromohamed2 :
one minute serious daika ioio unacheka
2026-11-21 11:52:22
9
jide072
JIDE :
Me mwenyew Marioo nishamkataa kitambo, Alinipigia nikamblock Alafu Akanitafuta na no. ngeni Nikamblock tena Nikaonana huyu atanisumbua nikamzimia na simu kabisa.😅😅
2026-11-21 07:29:43
23
user8146129740815
Cadabrah🚫💕💞 :
mimi stakiii banaa. haha haha haaaa
2026-11-21 07:19:55
15
jowziiydaxjoari
Jowziiy Dax👽 :
me staki bhana😊😊
2026-11-21 11:21:12
5
aica.cute0
Aica cute💝 :
Mbona me sitongozwi mwaka sasa au sionekani 😭
2026-11-21 09:11:26
7
user5827684232537
line boy :
mwanang mashabik tunakukubal lkn mambo ya umbea kuhusu watu wengine utawapoteza mashabik acha hizo piga Kaz
2026-11-21 09:34:28
10
meroji_airtel
MEROJI COMPANY LTD :
siyo tu ibrah hata mimi marioo hatuongei 😏
2026-11-21 10:53:24
7
mc_iddy
raisi wa kb :
ibraha anae akili mpaka mtu kumjua alie kusaidia simchez kwa tz
2026-11-21 09:03:00
12
vailethdancer
Vaileth dancer :
Ila binadamu hatunaga shukrani
2026-11-21 06:58:53
15
princess.lee695
Princess Lee🥰 :
Ibrah pamoja San
2026-11-21 07:50:17
7
mamajack82
mifty :
timu ibrah
2026-11-21 10:55:07
6
matridatzofficially
Fly🦋 Ma🍒 :
Yeah muheshim sana harmo ni mtu poa maan ulimkataza had asikuongelee na akatiii daaah binadam kam harmo ni wachache🙏🙏
2026-11-21 06:20:31
11
deluxey_hammie
Hammie ❤️ :
mi ctak bhana
2026-11-21 07:35:55
9
257mamu
Gee-💞🔐 :
Me staki bhn 🤣🤣🤣
2026-11-21 07:13:02
5
user703094291449
BLESSING🏅 :
point ☝️
2026-11-21 23:42:40
1
To see more videos from user @zelott_big, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About