kwan jeshi la Tanzania ambalo lipo Congo huwa wanalinda nini huko 🤔🤔 ikiwa raia wako hukutana namatatizo kama haya.
2026-11-21 22:01:16
0
Patrick..Fiddo😎 :
Congo sio Nchi rafiki kabisa! Transit zipo nyingi mzee sio lazima twende Congo
2026-11-23 10:58:18
1
Lucy zabroni :
MUNGU AWATUZE WAPAMBANAJI WOTE, WANAOTAFUTIA MBALI
2026-11-22 07:11:54
2
Ally Munna :
dizo hakuna namna pesa haitaki mtu muoga kikubwa dua brother mungu atulinde sana 👊👊
2026-11-21 13:10:13
3
Muya :
maneno mengi sisi madereva wa Tz tunataka wenyewe shida hizi
2026-11-21 20:56:02
1
maneno :
dah ila congo bwana
2026-11-21 18:20:12
2
EZE MAN ⚒️ :
hatar san mkuu tunapitia mambo mengi san
2026-11-24 20:02:25
0
nerson 5G :
pole san😢
2026-11-21 14:41:36
2
Ndagile's son :
sio poa
2026-11-24 19:23:03
0
MJEMI :
TUGOME SIS TUISHIE ZAMBIA TU
2026-11-24 09:55:44
0
ahmad sidi :
dahhh hatari sanaa
2026-11-21 08:38:46
1
ngabonzizaaimabl2 :
mimi Congo siji lisasi zilioniingiya zinatosha lakini MUNGU asifiwe kumlinda mpambanaji
2026-11-24 07:39:12
0
Broken boy 111 :
Tatizo wanataka pesa nyingi daah!
2026-11-21 19:44:27
0
Rujewa boy Tz🇹🇿 Mby💯 Mbaral :
Dua sanaaa brooh🙏🙏🙏
2026-11-22 06:54:58
0
Ivann smith :
Duuuh ila 🇨🇩 hata
2026-11-22 11:48:40
0
Abdully yusuph Turuku :
daaah
2026-11-21 08:36:36
1
ERICK AWITI :
poleni Sana jamaa
2026-11-22 05:20:36
0
Thebute :
Kwn serikali ya Tanzania yenyewe inasemaje
2026-11-25 03:16:48
0
Pili Said :
poleni du😳
2026-11-24 21:18:19
0
sawaiga :
ivi kuna ulazima gani wa kwenda congo
2026-11-23 11:06:27
0
maxi priest :
lazima mtu aende tu congo?? madereva wanauliwa kila siku uko congo na bado mnarudi uko..kufanya nini haswa...wachaneni na safari za congo afrika ni kubwa endeni pale kuna amani
2026-11-22 01:43:47
1
BARAKA MTULIVU :
shida watu wanaenda Congo 7bu ndo seem rahisi kupata kazi ya udereva na posho nayo ni mlima rkn mateso yake ndo ayo
2026-11-24 06:50:02
0
mapanda :
pale ukitoka paking ya kansan au
2026-11-21 19:42:57
0
To see more videos from user @dizo.kama.dizo8, please go to the Tikwm
homepage.