Grammy awards 2taisikiaga2 kwa kna davido 🤣🙌 xx hii n nn!?
2026-11-21 07:43:41
2
@burma kid :
ukizima beat umeishaaa 😂
2026-11-21 08:26:20
1
Ommy,Brand :
tunabonda
2026-11-21 06:38:49
4
THE DON :
Jamani ndugu zangu, kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii ambayo haipo kwenye nafasi ili kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote ambao hawakuwahi kuwa sehemu ya kitu ambacho hakikuwahi kutokea, maana bila wao mambo yangekuwa tofauti na yalivyo sasa hivi. Pili, napenda kuwafahamisha kwamba kesho iliyopita kabla ya jana nilikuwa na mawazo ya kesho ambayo tayari yameshapita, lakini kwa bahati nzuri bado hayajafika.
Kuna watu wanajiuliza kwa nini maji huwa hayakai juu ya moto wakati moto nao haujawahi kuwa maji. Hili ni swali ambalo majibu yake yanahitaji mtu awe na akili za kawaida zisizo za kawaida. Kwa mfano, ukichukua kuku ukampeleka shule, je, atafaulu kwa sababu ana mabawa au atafeli kwa sababu hajui kuandika? Hapo ndipo tunapopata maana halisi ya maisha ambayo hayana maana bila kuwa na maana.
Mwisho kabisa, naomba kila mmoja aendelee kuwa yeye mwenyewe, kwa sababu ukijaribu kuwa mimi wakati mimi nikiwa wewe, basi nani atakuwa yule ambaye hakuwa mimi wakati wewe ukiwa yeye? 😂😂
Asanteni kwa kunisikiliza bila kusikia, na Mungu awabariki kwa baraka ambazo bado hazijabarikiwa. 😂😭
2026-11-21 07:54:50
1
EliasaJr :
Pablo mkali saana 🔥🔥🔥🔥
2026-11-21 07:44:27
1
JoshXP_ :
2026-11-21 08:21:58
1
JINNI,963🇰🇪🏴☠️ :
NI MMOJA TU DUNIA NZIMA
2026-11-21 07:12:14
1
hunter🔫 :
Fanya Kam hunanip hunaipga
2026-11-21 07:22:33
0
godey_12 :
kio 👑
2026-11-21 07:12:47
0
Nana ♥️🌷 :
2026-11-21 07:08:24
0
Curiousbwoy_254 :
Taka watoto wazuri alafu huna hela 😂
2026-11-21 07:37:00
1
Barnabs :
nmeshaipiga asubuhi
2026-11-21 07:40:48
1
john :
hapo ange drop na wamilembe hili goma ingekuwa baraa
2026-11-21 07:42:59
0
zincheko's zombie 🧟♂️ :
fanya kama una... unaibinyaaa
2026-11-21 07:25:12
0
Chris boy :
🔥🔥🔥
2026-11-21 08:04:15
0
Jai king :
🥰🥰🥰
2026-11-21 08:05:05
0
CHRISS XO✨️🖤 :
🔥🔥🔥
2026-11-21 07:04:16
0
Nick bway :
Aaaah asa mi naongea na wewe unaongea maana yake hatuheshimiani yani😅
2026-11-21 07:40:32
1
To see more videos from user @mbukio_lyrcs, please go to the Tikwm
homepage.