@kiswahilitvonline: JITAMBULISHE WEWE NI NANI.... BILA VYEO AU SIGFA ZAKO? Swali hili linaweza kuwa rahisi sana lakini likawa gumu kulijibu. Watu baadhi walioulizwa swali hili wamekimbilia kutumia sehemu kubwa ya maisha yao kujitambulisha kupitia kazi zao, mafanikio, mahusiano, mambo wanayopenda sana, na nafasi walizonazo katika maisha ya watu wengine. Lakini labda tulitakiwa kugundua sisi ni akina nani zaidi ya matarajio, vyeo, na utambulisho tuliojifunza kuubeba. Je, ukiulizwa wewe ni nani utajibu nini?
kiswahili Tv
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 06:56:15 GMT
Music
Download
Comments
l!ttlę~k!ng 🤴👑 :
mim ni mwehu 🥺
2026-11-21 09:45:32
6
KING OBN :
wewe ni nani?
2026-11-21 08:01:22
3
Chikonkolo :
I am someone with dreams, goals, and a purpose in life.”
2026-11-21 09:37:51
1
Tezza :
I'm big Fan Of Money
2026-11-21 10:16:58
0
fedo :
I'm electrician
2026-11-21 10:25:54
0
Willy Mahenge ⛎ :
2026-11-21 09:45:07
2
𝑪𝑯𝑰𝑷𝑶𝑷𝑷𝑰𝑵 :
am spiritual Talented Person born with lion spirit 😏🔥
2026-11-21 09:55:39
1
Mr Thank You :
I am your perfect choice to fill your gap
2026-11-21 10:06:03
0
NOTIFICATION :
I'm introvert
2026-11-21 08:04:33
2
The way finder :
I am who iam
2026-11-21 08:11:01
2
⭐ STAR BOY :
iani allah akbar
2026-11-21 08:22:31
1
Bk... :
ninani angeweza kijibu tofauti ya huyu
2026-11-21 09:41:30
0
KAKARITE ENTERPRISES :
I am worrial of justice and food, who think non harm, do non harm and wish non harm.
2026-11-21 08:38:20
0
Richlove :
Mimi nimtu ninaejitambua ninaejua ninachotaka
2026-11-21 08:28:13
0
Suley welder tz :
me is me
2026-11-21 08:19:41
0
Abel Dotto :
u guy mention your name
2026-11-21 08:08:07
1
degakingu :
Mim ni mim ninaetambulika kwa Jina La Osama bin laden
2026-11-21 08:41:29
0
GHOST GTA :
Im mother f**k
2026-11-21 09:53:30
0
crisentpancrz :
Swali kama hili hasa kama ni INTERVIEW linakutaka utoe muhtasari wa kitaalamu kuhusu ujuzi wako, uzoefu wako, na namna utakavyokuwa na mchango kwao, na siyo hadithi ya maisha yako binafsi
2026-11-21 08:40:27
4
mudi@10 :
😳😳😳
2026-11-21 09:39:45
0
To see more videos from user @kiswahilitvonline, please go to the Tikwm
homepage.