@leonard.jonathan7:

Leonard Jonathan
Leonard Jonathan
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 07:28:14 GMT
28598
1410
107
52

Music

Download

Comments

mustafaally505
Bango tz :
watajua wenyew lkn hyo dhamb lazima wailipe na 2030 chadema lazima tuchukue nchi
2026-11-21 11:54:26
29
aminafocas
Amina Focas :
kama nakuelewa da mangi
2026-11-21 09:12:05
41
matole37
MATOLE :
Wanataka kutuhalibia taifa
2026-11-21 08:20:12
32
user6596075093273
user6596075093273 :
hatutaki ccm tena
2026-11-21 08:10:23
10
mussasulleiy
Mussa Sulleiy :
hii inaniingia akilini kabisaaaaaa
2026-11-21 09:30:09
16
user4802502021746
user4802502021746 :
Nimekuelewa Dada wa Taifa. You are very INTELLIGENT.
2026-11-21 08:19:06
14
shaabanihadinanik
shaabanihadinanik :
kwani ya Marekani huyaoni
2026-11-22 08:15:15
0
user6517073849515
amiri :
You are very Intelligent 🧠
2026-11-21 11:50:52
1
zakariasamsoni0
ZAKAYO mc :
chadema ikichukua nchi nahama ntakimbilia hata zambia
2026-11-21 17:01:05
0
nicaragua_150
Nicaragua🫶🇹🇿🍓 :
mi napenda iko kigugumizi
2026-11-21 12:21:00
1
maglan1990
Activist :
wewe dada nakupenda sana. Mungu akulinde maisha Yako yote shujaaa wa Taifa hili.
2026-11-21 08:25:34
13
skola.skola84
Skola Skola :
ee dada uko vizuri uko bere ya mda
2026-11-21 07:46:01
6
katavifashion4
KATAVI FASSION GROW💃🏽 :
Zaman wengi walikuwa wamekaza mafuvu hawakuelewi saiz kila mtanzania anakuamini 🙏🙏🙏🙏🫶
2026-11-21 10:57:18
7
user9877370043219
angano jipya ukweli yesu yupo :
sina Cha kusema zaidi ya kusema mhuu sawa ☺️
2026-11-21 16:58:33
0
siga8286
NUMBERS DON'T LIE :
Chadema ni chama cha KIGAIDI
2026-11-21 14:59:24
0
bastybasty0
Basty :
No no no no
2026-11-21 20:49:42
0
evodia.emmi
Evodia Emmi :
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
2026-11-21 09:48:07
0
rajab....magafuli
RAJAB... MAGUFULI :
hi ni IA mange hawezi kuongea uongo
2026-11-22 05:46:52
1
user5816672511800
Mr mapunda :
Yani Ina uma sana
2026-11-21 21:47:09
2
isaacndogobhe
isaac :
jamani TANZANIA yetu Mungu tuokoe ☺️☺️☺️☺️☺️☺️☺️
2026-11-22 01:32:31
1
chugastiancity
Arusha city :
Nikweli tumekwishaaa tumekwishaaa
2026-11-21 18:16:59
1
duvias2
duvias :
yan uyu dad me penda san
2026-11-21 11:13:18
3
xymera09
Xymera :
Hii nchi nihame tu sasa
2026-11-21 10:54:52
3
faustinabayona
faustinabayona :
Bora umetusanua mapema
2026-11-21 12:28:31
2
neemamsemwa2
neemamsemwa261 :
. Asante dada wa taifa, nimeanza kukuelewaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰💯💯
2026-11-21 09:24:32
3
To see more videos from user @leonard.jonathan7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About