@ali_wisdom: "Kifo hubakia kuwa neno tupu tu, mpaka pale kinapofika na kumnyakua mtu wa damu yako kutoka katikati ya familia yako!" #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou
Dhhh Sahihi Maana ukiskia kifo unakua hutetereki😔. kuna Kipndi Nlikua Na Rafiki Yangu Nlisom Nae wakati Tulisha Maliza Form 4 Tukawa Tunafanya Shuhuli Zetu Pamoja Ilivo Fika Mwaka 2022 Kaka Yake Akafariki Mkewe Itbaidi Waende Dar Maana Walikua Zanzibar Wakafanya Maziko Na kurudi Baada Ya Wiki 1 Alirud Boat Ya Saa 6 Akafika Mtaani Akafikia Maskan tukacheza Kerama Tukapiga Picha Ilivo Fika Swala Ya Al-Asri Akaenda Kuswal Akatoka Kwao Na kupita Maskan Anakula Embe Akanirishia kokwa La Mgongo Na Kuniambia Kesho Kazini Mapema Inshallah Maana Sina Kitu Nmetoka Msibani Allah Alivo Kua Mkubwa Kacheza Kipndi Cha Pili Anaend Kushinda kaanguka Na Kufariki Hapo Hapo 🥹 Taarifaa Gafla Zikaenea Mda Huo
2026-11-21 13:36:02
2
♥️🌸🧸عاءش :
My young sis 😭😭😭😭 uliondoka ukiww mdg lkn siwez kukusahau kwamwe allah akupe kaulithabit inshallah
2026-11-21 20:01:44
3
مريم🫀💓 :
Khusnul khaatimah
2026-11-21 08:53:20
3
😍Ms.Ree :
mama yang nimemkumbuka sana😭😭
2026-11-22 20:12:03
0
latypher2021 :
Allah atujaalie mwisho ulio mwema🤲
2026-11-22 13:23:30
0
fat_mer002 :
nimejifunz hil wallah 😭😭
2026-11-21 13:41:01
1
Sabrina Aa :
kwaker
2026-11-21 10:15:22
0
hans Mohammed :
Hakika kifo ni ukumbuxho mkubwa xana kwa mwenye kuelewa ,Yarabb tunakuomba mwixho mwema na ukituchukua uwe mwenye kutulizia👏
2026-11-22 11:27:50
0
mariam :
kweli kabisa
2026-11-21 10:30:00
0
Mufty Mdogo :
my dad yaraby
2026-11-21 09:11:22
0
nai♥️♥️ :
ni zaidi ya maumivu 😭
2026-11-21 15:29:20
0
★彡 𝑺𝑯𝑨𝑹𝑼𝑲𝑯 彡★ :
2026-11-21 09:11:28
0
Dady's dotah💕💞 :
me nilikua naogopa kuangalia mtu alie kufa guess what😭😭😭
2026-11-22 17:25:19
0
happynes john :
kwel kabisa siku. baba ang alipoteza faliki ndo nijuwa. nimaumivi ww acha TU
2026-11-21 21:37:01
0
To see more videos from user @ali_wisdom, please go to the Tikwm
homepage.