Ni mzima huko chini jamani hawamfanyiii vitendo vibaya jamani na hizo pombe mwenyezi mungu atujalie nafasi ya kulea watoto wetu
2026-11-21 10:23:10
374
Dee🥰❤️ :
Af mtu anakuja kusema zaeni tu watoto ni baraka unazaa kuja kumtesa wa nn ss
2026-11-21 10:09:48
759
MADAM TINA 🤍💥 :
Tutoeni mimba jamani
2026-11-21 09:49:58
435
maryamudunga :
😢kunamtu anasama kuzaa ni baraka mtu hauko tayari kwann uje utese mtoto
2026-11-21 09:34:04
148
yasmin 🥰🥰 :
Kids are not safe 😳
2026-11-26 13:19:07
0
janeth :
wapi uko mtowa post km itawezekan naomb nikae nae 😭😭😭
2026-11-21 09:29:07
28
Sabi :
Nina kijiti cha miaka tano...Yani sitaki kutesa mtu
2026-11-21 13:56:07
18
sweet love❤️ :
Daah nimeangaria zaid ya mara 10 nimeumia mno daah 😭💔
2026-11-21 09:59:40
72
fandi :
mimi nilizaa mmoja in my early 20s mpaka saivi niko in my early 30s ushauri ni mwingi ila sizai sizai sizai
2026-11-21 17:30:16
17
NEY__STORE1 :
mama gwajima mumtag jamani alichekeshi hili🥺
2026-11-21 09:55:23
13
hadassah☺️ :
kwanza hao wanaompa pombe maskini ukute wanakabaka🥺
2026-11-21 14:03:36
33
PaschalMp :
inawezekana lengo ni zuri ila kuna watu wakiamua kukukomoa kitakuramba 😅
1. kumrekod bila ridhaa
2. kumdhalilisha
3.mtoto kumuweka mitandaon
2026-11-21 17:46:16
5
nimahOfficial :
dah nilaisi kumfanya vibaya Mungu wangu😭
2026-11-21 09:50:03
17
mrs maha :
dah nimejikuta nalia
2026-11-21 10:59:05
1
immaculateconesmo :
Masikini ni rahisi kuhalibiwa mchukueni mnusuluni jamani😭
2026-11-21 09:36:57
10
#mbishiJ :
nawaza mengi ila kikubwa ni vipi ajaingiliwa na kupata maambukizi yoyote yale jmn eeh mwenyezi MUNGU nibariki uzao na unipe umri mrefu niwaone mpk wajukuu zangu km utapenda amen
2026-11-21 11:49:06
7
Veetoryah :
mhh
2026-11-21 20:37:47
1
Mr Brand New/Used Cars 2026 :
Dah 😪
2026-11-22 09:57:14
1
user2358193697788 :
Amina
2026-11-22 04:36:52
1
sechu 1 :
2026-11-21 20:45:02
1
SHEBA :
2026-11-21 18:21:55
1
sechu 1 :
2026-11-21 20:45:17
1
ashuuu!! :
daah
2026-11-21 14:11:07
1
Shaban Izack :
mbona mna fanana
2026-11-23 09:50:15
2
To see more videos from user @daktari_wa_hisia_, please go to the Tikwm
homepage.