@nyansaho.update1: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mheshimiwa.Dkt.Rhimo Nyansaho na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda wakielekea uwanjani kushuhudia tukio la Kamisheni Katika Chuo cha Mafunzo ya kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha tarehe 21 Novemba, 2026
wakurya tuko imara sana tata nyansaho pambana sisi wananchi tunakupenda Mona weito japo nataman sana kuingia jeshini nilinde nchi yangu
2026-11-21 11:45:37
1
majaliwamtimkuu0 :
tangazeni ajira na nyie hili tuchanganyikiwe
2026-11-21 10:31:16
1
chacha kigocha :
hongera murra
2026-11-21 09:08:09
0
A.cholo :
mh waziri tembea mwedo wa kisoldier
2026-11-21 10:59:49
0
Marrymatarian :
hakika Mungu ndo amefany kweny family 🙏
2026-11-21 09:02:20
1
Walid :
hongera waziri wetu
2026-11-21 10:05:55
0
💓Cutie Rolis💞 :
Safe journey to you all
2026-11-21 08:56:05
0
gamba@marco :
MUNGU akupe maisha marefu kwa utu upendo na hekima yako kiongozi mwadilifuu na mzalendo wa kweli MUNGU Akubariki sana
2026-11-21 10:35:35
0
mohamedhaji572 :
2026
2026-11-21 13:17:07
0
Kuku firigisi :
respect
2026-11-21 09:32:57
0
Yusszoly :
Kongole sana Mheshimiwa
2026-11-21 12:13:53
0
SUZANA MAIRI :
Yaani Mungu acha aitwe Mungu milele yote. Mungu azidi kukuongoza katika nafasi hii ya Waziri wa Ulinzi ktk Nchi yetu ya Tanzania. hakika wewe ni mchapa kazi kwelikweli ndugu yangu.
2026-11-21 12:27:56
0
wamunyinyi12 :
Hongera sana WAZIRI kazi nzuri sana
Ombi langu jitahidi uweze kuwasaidia vijana wa mkoa mara waweze kupata ajira huko . angalau siku ukiacha kazi pawepo na alama ambayo utaicha . Mungu atakulipa
2026-11-21 12:12:48
0
mohamedyrajabu1 :
Pambana brother,,,,,,,Nchi inakutegemea.
2026-11-21 10:26:20
0
D-MOMO🥋🥋🥊🥊 :
saluti
2026-11-21 09:17:34
0
daudikibakiba :
kaka nataman mungu moyo kama wako make wewe ni mtu ambae kama jamiii inatakiwa tukuige kabisa unajua kushi na watu maskini na matajiri waislamu na wakiristu hubagui kaka kabila wala dini jaman mungu akueke miaka mingi sana kaka kwanza hujion kwmba wewe upo juuu kuliko wengine kaka ukija hapa mugumu Serengeti unakaaa na washkaji vizuliiiiiiii tunakupenda bro nyansaho kwakweli uishi miaka mingi kaka make had hapo ulipo ulisha saidia family nyingi sana kaka
2026-11-21 11:50:11
0
STEVE.G :
🙏🙏
2026-11-21 10:31:37
0
U Jux :
🥰🥰🥰
2026-11-21 11:41:00
0
To see more videos from user @nyansaho.update1, please go to the Tikwm
homepage.