Tumuogope Allah jmn Mashehe wetu wanachafuliwa sana jmn
2026-11-21 12:23:36
3
Anwaaaary_AHJ :
mbonakama uongo
2026-11-21 11:35:44
1
Omary Msangule :
mm nampenda shekhe ali muidini yupo kimya sana Ana maneno Ana sikendo
2026-11-21 12:22:29
0
duwa :
kusema ukweli mimi nampenda sana shekhe mziwanda mawaidhayake ila nasema ikiwa analo jambo hilo allha amuondolee naapewe nasaha ilio nzuri ila haya mambo yenu ya kuwakosea mashekhe khishima Namibia vizuri
2026-11-21 13:52:22
2
binkassim :
inamtosha mtu kuwa ni dhambi kulizungumza Kwa Kila analolisikia
2026-11-21 12:47:46
2
Riffat Win :
mtihani huu sasa jamani[Teary eyed]tukimbilie wapiiiii?????zina ukweli upi????
2026-11-21 14:26:33
1
abuu hafswy :
kwahiyo yote hayo hakuna hata ushahid wa picha..mitandao yote
2026-11-21 11:43:16
1
Chao :
sawa ila dhana aitakiwi tunaitaji ushahidi uliokamilika
2026-11-21 12:10:16
1
Ibnu Yaasir :
inshaallah allah yupo sheikh mziwanda allah akupe subra kwenye kipindi hiki cha maadui kutaka kukutoa kwenye reli tuna kupenda sana sana, hii sio nasaha bali ni kumdhalilisha
2026-11-21 15:18:58
0
abuu sayiriinTz 🇹🇿 :
huu NI msimu mbaya Sana Kwa masheikh
2026-11-21 14:53:27
0
bahran :
kama umemtumia nasaha huku imefikaje
2026-11-21 13:29:53
0
ZAINAB MSUYA :
lete hizo clip
2026-11-21 15:26:41
0
mr j :
shekh kinachomponza ni kusema kweli na siamini Aya yanayosemwa kikubwa ni husda tu kwasababu ana elimu kubwa mashaallah
2026-11-21 13:39:04
0
issazam2 :
Sasa aya unayozungumza ya nani
2026-11-21 14:03:18
0
Hanifa Patel695 :
😭😭😭😭😭 Inauma Sana madai Yao wanatubu
2026-11-21 12:49:13
0
Said kifaranga :
Amueni kumchafua shekhe kwa u ni msema ukweli
2026-11-21 13:12:00
0
OfficialMamaLao :
mmeanza kila shekhe anaye penda kusema kweli lazima apakaziqe
2026-11-21 12:39:24
0
UMAIR :
shida pale kwenye kulipa pesa ndo ataanza kuomba msamaha😂😂 kwenye kuongea hakuna shida
2026-11-21 12:37:39
0
Omary Hawam :
Fitina za Bakwata hizo 😳
kwamba alikuwa anawakaza hao vijana au anawafanyaje🤷♂️
2026-11-21 15:34:24
0
samabrown :
awa masheikh wetu jaman Dunia hii mung namuomba snaaa asitukasirikie ila atunusuru naona yetu.mana kuna binadamu tunawaogop mpk Dunia tunaona aina maana kwa sasa
2026-11-21 12:44:15
0
LŰÑGŪ BØY :
Ushahidi ninao kama sio yeye🤣🤣
2026-11-21 13:22:57
0
Big Mketo Tz :
kama mna ushahidi uleteni
2026-11-21 15:20:36
0
ibnu hamza :
hyo shekh mziwanda kwake ni mtandaoni? au hupajui kwake mpk usemee humu?
2026-11-21 11:57:54
0
To see more videos from user @nasaha.elimika, please go to the Tikwm
homepage.