@mohamedhafidh_tz: Unahitaji ujumbe muhimu usipotee kwenye WhatsApp? 📌 WhatsApp ina kipengele cha Pin Message kinachokuwezesha kuweka ujumbe muhimu juu ya chat ili uweze kuupata kirahisi wakati wowote. Kwenye video hii nimekuonesha jinsi ya kutumia kipengele hiki na kuchagua muda ambao ujumbe utakaa pinned. Jaribu mwenyewe na usisahau kushare na wengine! #whatsapptips #whatsappfeatures #mohamedhafidhtz #TechTips

Mohamed Hafidh
Mohamed Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 09:28:16 GMT
150
11
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mohamedhafidh_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About