Bora mimi niliingia rodi mwenyewe na gari ya mzee, namshukuru Mungu nilipata ajali.
2026-11-21 14:06:53
107
mallle :
ukitaka kujua kuendesha gari ,mtafute rafiki
2026-11-21 13:58:31
38
17marie36 :
Kwan huko driving school ni bure kheee
2026-11-21 16:27:01
1
Jay.mascania :
mbn kama driving school ndo kwa moto zaidi
2026-11-21 16:59:40
18
kibua🇹🇿 huluma sio malezi 📌 :
Mimi hadi naogopa 😳
2026-11-21 14:43:41
22
Zukra Mnango :
mm niliona lor nikapak pemben weee nilipigwa Kofi lautosi nikaapa sitakujakumuomba anifundishe tena
2026-11-21 17:22:26
18
Boss Lady :
Jaman me nilijifunza mwenyewe na youtube 😂
2026-11-21 16:08:38
7
emmilicious :
Mimi nilikuwa napigwa Hadi nikaghair[Big LOL]
2026-11-21 14:18:10
8
White Maria💫 :
Mimi mwalimu alinipiga mkono nikamrudishia na nikaondoka nikawaachia na ada nikaenda kujifunza mwenyewe mtaani😁😁😁
2026-11-21 14:56:56
7
ESPERENCE augustine :
Namimi nime azakujifuza namushukuru mungu mumewagu anifokeyi anaelewesha vizuri ila kishashagu kigumu😂😂
2026-11-21 21:01:34
1
highlyfavored_77 :
Kuna mwl driving skul flan yuko hvyo hvyo😂
2026-11-21 14:06:30
11
Ameynah :
hali niliyopitia mm mpk nikajuaa🤣🤣 na usiombe akufundishe ba mtuu😄
2026-11-21 16:09:08
9
ANNA⭐️ZIA beauty saloon :
kwani lazima🤣🤣🤣
2026-11-21 23:23:25
1
Simon_the disciple :
mbona naona baada ya kusoma na kugraduate?😁
2026-11-21 13:00:32
9
INTROVERT power :
huwezi kunifundisha hivo
2026-11-21 20:06:14
1
pascalinabaran :
me ukinifokea ndo kabisa nachanganyikiwa bora tu unielekeze taratibu😂😂
2026-11-21 20:17:39
2
wotafamo company :
nachoka Mimi
2026-11-21 19:55:15
1
Anita Dimples :
she will make it
2026-11-22 19:00:49
0
kawinnie :
wahala wahala
2026-11-21 17:04:46
1
Mrs 💗💞💓 :
kama ndo ivi badooooo🙌🙌
2026-11-21 17:50:16
1
Joseph Salvatory :
2026-11-21 17:16:10
1
Kendrick tarimo Manka :
hata me ningesusq
2026-11-21 18:14:08
1
Sabbyvortex Grains collection :
Hii situation ilinipata 😂😂😂 mme nikumbusha mbali
2026-11-21 18:05:03
1
Ney Tesha ❤️💯 :
😂😂mimi alinikaripia adi nikapoa ,baadae akajikaza kunielekeza taratibu ni kaweza😊😊bn
2026-11-21 19:11:33
0
cherrykitchen_singida :
Ukitaka kujua kuendesha fundishwa na mpenz wako ambae ndio mmeanza mapenz yaaan Yale mapenz ya mwanzo mwanzo,au fundishwa na mtu anaekutongoza bado humanitarian, vinginevyo utauona moto
2026-11-21 20:33:14
1
To see more videos from user @eghomotors, please go to the Tikwm
homepage.