@dear_men_officials: Wanaume, kuna vitu ukivaa vinaweza kuharibu muonekano wako mzima hata kama nguo zako ni nzuri! 👔🔥 Style siyo kuvaa nguo za gharama, bali ni kujua nini cha kuvaa na nini cha kuepuka. Epuka makosa haya ya kimavazi kama unataka kuonekana msafi, nadhifu na mwenye class kila unapovaa. Kumbuka: Mwanaume mwenye style anajua hata vitu ambavyo hatakiwi kuvaa. 💯 Save post hii na mtumie na mwanaume mwenzako anayehitaji kuboresha muonekano wake! Dear Men – Vaa Kwa Kujiamini. 🖤 #DearMenOfficial #MensFashion #MwanaumeNaStyle #FashionTips #mensstyle
Dear Men Officials
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 13:34:46 GMT
Music
Download
Comments
Jimmy :
ivi apa umekataa kunipa outfit yake
2026-11-21 20:41:12
1
GMC :
sisi wa gerejii vip
2026-11-21 14:36:15
4
Pichambao& furniture :
na sisi majobless vip?
2026-11-21 20:08:58
1
Dragel :
na kwa sis mafundi ujenzi vipi
2026-11-21 20:31:45
0
𝔇𝔯𝔬𝔫𝔢 𝔖𝔦𝔪𝔬𝔫⌚️ :
Sema ndo ivyo,tunavaa na maisha yanasonga kinamna si unajua uchumi tena
2026-11-21 15:35:07
5
ramadhanimchora :
umetisha hapo kwenye tai na shati la mikono mifupi
2026-11-21 17:22:53
2
phahud_👑 :
navaa huna cha kunambia😅
2026-11-21 21:28:04
1
Baba ubaya :
unajua dada nakubali sana
2026-11-22 00:31:50
0
Georgianproffesor :
utaonekana na nani?????
2026-11-21 18:25:42
1
sunbae🇲🇼🥇 :
ss wa gereji sas
2026-11-21 18:32:09
1
Adam Achimwene :
usinipangie
2026-11-21 18:43:26
1
maraika abdury :
ebu tuongelee sisi wadada kwanza😘
2026-11-21 18:39:22
0
+255 :
Hata chupi unaweza kuvaa na tie pia fresh tu
2026-11-21 23:33:12
0
Abedi bondo Yusuf :
next partie
2026-11-21 22:01:20
0
5G :
Lop yu🥰
2026-11-21 21:32:23
0
rahom U-77 :
sure😅
2026-11-21 21:46:16
0
PendaXo🥴 :
peace
2026-11-21 22:11:12
0
Vitusy Grantusy :
nakubali
2026-11-21 13:59:58
0
MR.MANENO STORE :
Mr maneno
2026-11-21 20:50:12
0
MGWANI📧 :
2026-11-21 20:49:43
0
shefmuba :
iwez kupanga maisha nip@nge na mavazi
2026-11-21 20:56:41
0
Samwel Pereira28 :
tusipangiane cha kuvaa wakat hela inatafutwa kwa shida so plzz kila mtu aishi awezavyo
2026-11-21 21:13:43
0
Apolinalis :
kuna hao akina sisi je ambao hatumiliki socks 😂
2026-11-21 18:11:00
1
Ebenezer :
jamani dada yangu asante sana
2026-11-21 21:27:17
0
city hunter 1804 :
naomba moja ya kaunda suit🔥
2026-11-21 15:28:52
0
To see more videos from user @dear_men_officials, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.