@fikrahub_: 🧠 SIRI YA MAFANIKIO SI KUWA NA PESA PEKE YAKE, BALI NI KUWA NA AKILI NA STRATEGY! 🔥💯 Watu wengi wanaangalia unacho nacho leo, lakini hawajui unachokipanga kwa ajili ya kesho. Usidharau nguvu ya maarifa, fikra na maamuzi sahihi. Mafanikio huanza kichwani kabla hayajaonekana kwenye maisha. 🚀 🤔 SWALI KWAKO: Unadhani kati ya PESA na AKILI, kipi kina nafasi kubwa zaidi katika kufikia mafanikio? 👇 Tuambie sababu yako kwenye comment! ❤️ LIKE | 🔄 SHARE | ➕ FOLLOW kwa elimu na mawazo yanayojenga. #FikraHub #Motivation #BusinessMindset #Maarifa #Mafanikio @Amrisaly @Letsimpactmillionspodcast