@jambotv_: VIDEO: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji @ormipango_uwekezaji Professa Kitila Mkumbo @kitilamkumbo kuwa serikali imekuwa ikisimamia sheria juu ya umiliki wa ardhi na kuwa kuna mambo haina uwezo wa kuyaingilia hasa linapokuwa na maslahi ya mwananchi na misingi ya kisheria imezingatiwa. Akizungumza leo Novemba 21, 2026 jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya sekta ya miliki (TAREX Expo) Prof. Kitila amesema yapo maeneo kama Masaki na Mikocheni jijini Dar es ambapo wananchi wanauza maeneo yao kutokana na kulipwa kiasi kikubwa cha fedha kisha serikali inalaumiwa na jambo hilo linakuwa sio ndani ya uwezo wa serikali. "Haya maeneo ukienda yanamilikiwa na Watanzania akaja mgeni kisheria kabisa wanakubaliana wanauziana nyumba alikuwa amenunua kwa bilioni moja anapewa bilioni tano akubali akatae ungekuwa wewe ungekubali au ungetaa?," amehoji Professa Kitila. Tunaomba mtazamo wako kwenye hoja ya Prof. Kitila

Jambo TV
Jambo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 15:26:16 GMT
34344
1144
52
54

Music

Download

Comments

johnmushi967
johnmushi967 :
kwan sheria zinasemaje kuhsu mgeni kumilik ardhi
2026-11-21 17:15:38
30
mzee.wa.kisiriri
Mzee wa kisiriri :
Mbona mwananchi akiwa kwenye eneo lenye madini mnaita lenu?
2026-11-21 17:32:14
5
elishandosi
Elisha Ndosi :
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, mtu ambaye si raia wa Tanzania (mgeni) haruhusiwi kumiliki ardhi moja kwa moja, isipokuwa kwa madhumuni ya uwekezaji pekee. Chini ya Kifungu cha 19 na 20 cha Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999, mgeni anaweza kupata na kutumia ardhi Tanzania Bara
2026-11-21 19:49:55
2
mesharkmyco
Meshark Myco :
wekeni Sheria xio mnachekacheka
2026-11-21 19:48:48
7
taxi_guru
chrispin :
wananchi hawakai masaki
2026-11-21 18:03:16
3
happifanus3
Happifanus :
Wanawauzia wageni sawa, kwa nini wabadirishe mipango ya matumizi ya ardhi kuroka makazi kuwa Biashara? Nani anatoa vibali?
2026-11-22 04:15:17
2
gaspercharles8230
gaspercharles8230 :
Sasa kama ikiwa hivyo ni kwamba wageni wanaweza kuja na kununua Tanzania yote maeneo potential yote lzm mtafute namna ya kuzuia hilo
2026-11-22 05:28:58
1
patrick.jerome2
Patrick Jerome :
kama mgeni Haruhusiwi kumiliki kwa nini Amilikishwe ???mbona nirahisi sanaa tafsida anatakiwa Apangishwe na nikwa mda?
2026-11-22 15:19:48
0
proo8132
Prosper :
kwaiyo basi ngoja ninyamaze
2026-11-22 12:02:52
0
www.tiktok.com.gem
GEM :
ila hata sheria ije vipi mtu kauza chake
2026-11-21 17:19:10
1
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Sasa mkuu alitaka alaumiwe nani...!?
2026-11-22 12:01:42
0
kariakoo_super_shopping
kariakoo super shopping :
Sheria zikoje kuazia wageni?
2026-11-21 15:45:17
0
ubasanja0966
ubasanja0966 :
anaye toa kibali naniii???[Victory]
2026-11-22 10:56:28
0
rogersmunisi585
roger :
Unajua nchi zilngine wanajenga miundombinu alafu wanaacha wananchi mnatifuana ,jengeni miundombinu Goba yote
2026-11-22 15:04:09
0
yiuhonho
Nathan :
Mgeni Hawezi kununua. Anapewa lease . Pia kiongozi amekosea
2026-11-22 08:33:03
0
danielconte065
Conte de 26 :
Hii ndio tanzania
2026-11-21 18:25:36
1
said.kasanda
Said Kasanda :
wekeni utaratibu nimalufuku raia wa kigeni kumiliki ardhi au mjengo kuwa wakwake yeye anatakiwa apange alipe kodi
2026-11-22 14:13:15
0
kabude02
kabude :
iwepo sheria ya mgeni kutokumiliki ardhi mkuu
2026-11-22 12:26:10
0
yusuphmpenja
Engineer :
mtu asiuziwe bali wamiliki wote
2026-11-22 05:36:06
0
omaryofficial5
omaryofficial :
mgeni anapataje Kibali cha kununua ardhi na kumilik
2026-11-22 06:57:38
0
user86197756380
Mohammedy DSM :
nakubal mapema tu [Big LOL]
2026-11-22 11:09:51
0
user9414704817038
Fabian vC. Baba khareem :
mmh
2026-11-22 07:28:01
0
papa.fololodelivery26
Papa Fololo delivery :
ni kweli ni ngumu , Ila kama kuna maendeleo kuna shida gani? au inatungwa sheria ambayo inasema kama unajenga nyumba ghorofa basi iwe taasisi ambayo inaajiri watu 300 na kuendelea
2026-11-22 07:21:16
0
elias.nguka
elias nguka :
Masaki inaenda kubadilika kutoka kuwa makazi ya watu na kuwa sehemu ya biashara kwa system hii
2026-11-22 07:30:21
0
xyb9874
xyb9874 :
Hayo naeneo yalipangwa kujengwa maghorofa? Au sheria zilipindishwa!
2026-11-21 17:39:06
0
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About