@barakatools_: #creatorsearchinsights #contenttopostontiktok 🌿 BRUSH CUTTER – MASHINE YA KUFYEKea NYASI NA KUSAFISHA SHAMBA! 🌿 Unahitaji kusafisha shamba, bustani au eneo lako kwa haraka na urahisi? BRUSH CUTTER ndiyo suluhisho sahihi!@MKULIMA SOLUTION @nasty__077 @asnay1234🛜 💪🔥 BRUSH CUTTER ni mashine bora kwa: ✅ Kufyekea nyasi ndefu. ✅ Kukata vichaka na miti midogo. ✅ Kusafisha mashamba na bustani. ✅ Kupalilia maeneo yenye magugu. ✅ Kazi mbalimbali za kilimo na usafi wa mazingira. TUNAUZA AINA MBILI: 🔹 2-STROKE = TSH 450,000 🔹 4-STROKE = TSH 550,000 💯 INAKUJA NA TOOLS 4 ZA ZIADA: 1️⃣ Disk ya kufyekea vichaka na miti midogo. 2️⃣ Jembe la nyasi (Grass Blade). 3️⃣ Waya wa nyasi (Nylon Rope). 4️⃣ Jembe la kupalilia (Cultivator Attachment). SIFA NA FAIDA ZA BRUSH CUTTER: ✔️ Hufanya kazi kwa haraka na kuokoa muda. ✔️ Hurahisisha usafi wa mashamba na bustani. ✔️ Inafaa kwa matumizi ya wakulima na wafanyakazi wa bustani. ✔️ Ina vifaa tofauti kwa matumizi mbalimbali. ✔️ Hupunguza nguvu kazi ukilinganisha na kufyeka kwa mkono. 📍 Tunapatikana TEGETA, DAR ES SALAAM. 📞 Simu: 0708655861 🚚 TUNATUMA MIKOANI KOTE TANZANIA KWA UAMINIFU MKUBWA! 🔥 BRUSH CUTTER – FANYA KAZI KWA HARAKA, OKOA MUDA NA NGUVU! #BrushCutter #MashineZaKilimo #KilimoBiashara

BARAKA TOOLS
BARAKA TOOLS
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 15:35:17 GMT
240
15
0
5

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @barakatools_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About