@michezo_online_tz: GOOOOALL.....!!!! Dakika ya 10 Said Mkopi anawatanguliza JKT TANZANIA, anafunga goli Kwenye angle ngumu sanaa JKT Tanzania 1️⃣ — 0️⃣ Simba Sc #NBCPremierLeague #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #tanzaniantiktok #TIKTOKINDIA
michezo_online_tz
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 15:45:20 GMT
Music
Download
Comments
yoner :
yali ili kipa bola ata kipa wa mzalendo apo akuna kipa
2026-11-21 16:22:20
1
♥️MOMENT LIFE❤️❤️ :
tuna 2 mpaka sasa ikumbukwe ivo
2026-11-21 16:16:57
3
Tallon :
kutangulia sio kufika broo☺️
2026-11-21 16:34:37
2
KENNEDY RWEYEMAMU :
huyo sio goalkeeper
2026-11-21 16:58:36
0
Ombenkey's🎹 :
ila kipa wa simba na shoot za mbali ni maadui wakubwa
2026-11-21 16:36:32
1
furaha :
tumeshaa waxhenyeta naabad
2026-11-21 16:32:12
1
🄱🅄🄽🄶🄰 🄹🅁💪💪💪 :
huy kasali au nimeona vibaya
2026-11-21 16:31:44
0
NESTZONE :
a few moment later
2026-11-21 16:34:46
0
Man of hope :
apana kipa apo japo mnyama damu moja ninaongoza
2026-11-21 16:42:41
0
ENMk🦅 :
kwa furah yk imeisha baada ya dk ngap
2026-11-21 17:36:40
0
kevooooo :
kwa mbindeeeeeew☺️☺️
2026-11-21 16:18:39
0
Young G' :
alofunga goli mwenyewe mkopi so lazima deni nitarudi na liba this is 🦁🦁🦁
2026-11-21 16:18:38
0
stedeha costas deo. :
na badooo
2026-11-21 16:06:32
0
noahmwangata256 :
simb tunashinda ila uyo kasali bc 2
2026-11-21 16:15:22
1
jofre :
pifa
2026-11-21 16:50:14
0
@Bloodbizzo999 :
🥰🥰🥰
2026-11-21 16:23:11
0
Jafar Gerard :
🥰🥰🥰
2026-11-21 16:05:47
0
To see more videos from user @michezo_online_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.