@uhondo.tv: MBEYA NA SONGWE BILA UMEME BAADA YA AJALI YA MIUNDOMBINU INYALA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetangaza kukosekana kwa huduma ya umeme katika mikoa ya Mbeya na Songwe kufuatia ajali ya kuanguka kwa nguzo ya njia ya kusafirisha umeme eneo la Inyala, mkoani Mbeya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TANESCO leo, Novemba 21, 2026, ajali hiyo imetokea baada ya nguzo ya njia mpya ya kusafirisha umeme ya kilovoti 400 ya Mradi wa TAZA kuangukia miundombinu ya njia ya kilovoti 220 inayosafirisha umeme kutoka Iringa kwenda Mbeya. TANESCO imesema wataalamu wake tayari wamefika eneo la tukio na wanaendelea na kazi ya kurekebisha miundombinu iliyoathirika ili kurejesha huduma ya umeme katika mikoa hiyo. Hata hivyo, kutokana na ukubwa wa uharibifu uliotokea, shirika hilo limeeleza kuwa kurejea kwa huduma ya umeme kunaweza kuchelewa, huku likiahidi kuendelea kutoa taarifa kuhusu maendeleo ya ukarabati. TANESCO imeomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na kuwataka wananchi wa mikoa ya Mbeya na Songwe kuwa na uvumilivu wakati jitihada za kurejesha huduma zikiendelea. #UhondoTVUpdates

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 15:53:13 GMT
86352
2563
95
220

Music

Download

Comments

acraymsigwa
spider 🕸️ :
ambao atuendagi bar sim zitatupeleka
2026-11-21 18:00:25
24
ayubu9245
ayubu mwasambili :
Wauza power bank now
2026-11-22 07:22:28
0
amosindugu875
Amosi Ndugu :
bila kuchoka wamesha maliza wazee wakazii tumesha pata umeme uyolee ✌️✌️✌️
2026-11-21 19:45:42
5
user26313334122
bitora s :
daaaaaaaaaaa ndomana wamekata umeme mbalizi nzima
2026-11-21 17:38:06
2
user1996168324579
user1996168324579 :
simu yangu ina tatu[Laugh approved]
2026-11-21 18:57:04
2
ayubujnnkoo
macomoro pig famer🐷nnko :
ila 🙌 malizeni mapema basi na hata hivyo umeme Bado unazingua sana tunduma huwa ni kuwaka nakuzimika 😁
2026-11-21 17:42:48
6
sindwani.tz
Twissa auto garage🛠 :
songwe tujuane
2026-11-22 06:13:12
2
mbela277
zawad mbela :
maeneo gani mbona hizo nguzo hazijaanza kazi
2026-11-21 20:04:43
1
nzundadaud51gmail.com
nzunda :
polen jamani wanambeya na songwe kukosa umeme
2026-11-21 19:37:25
6
verokyusa
vee🥀mummy🦋 :
hatimae nguzo imara zimesalenda khaa
2026-11-21 17:47:59
0
srtyson
Ambassador TYSON :
Mbeya nzima
2026-11-21 18:04:17
4
mauboe1999
mauboe mmatengo🇹🇿 :
tanesco tupen kazi tumalize tatizo
2026-11-21 17:07:16
5
barakamwambilu662
bk King of decoration :
ninacho kishangaa mm imewezaje kukatika hiyo chuma aukunanamna aundo hapo kuna mambo hay🤫
2026-11-21 17:17:32
2
luccyog
luccy@OG :
Ila umem nichangamoto
2026-11-22 04:40:50
1
blasius2687
Blasius :
kwamba ni el minyo au low quality of material???
2026-11-22 02:13:28
1
momelvin5
Mom elvin :
ata bila ajali songwe umeme jau
2026-11-21 21:53:34
1
ufalmejesus
UFALME JESUS :
wenye 3%za simu tujuane😂
2026-11-21 20:41:20
1
trezia.gerald
Trezia Gerald :
tunashukuru kwa taarifa
2026-11-21 20:00:59
1
smarteye_graphix
Smarteye _graphix :
au walitengenezea aluminium
2026-11-21 19:40:03
1
hassanmsweeden
Hassan Msweeden scania :
rushwa ikizidi ndiyo Huwa hivi material low quality ten %na sasa tbs walikufa wapi
2026-11-21 19:23:07
1
crown.blogger
Crown & Blogger :
asa wametengeneza juz tu Leo inapata ajali hiii ni maajabuu!!!! eeeeeeeeeeeheeeeeeeeeeeeerrheeeeeere I wonder!!!!!!
2026-11-21 18:30:32
1
grace.mbusye
Grace Mbusye :
kwanini mna tengeneza vibaya
2026-11-21 17:12:12
1
gpa.3.5.warrios
GPA 3.5 🐈‍⬛ warrios :
wa uza solar saiz
2026-11-22 07:02:45
0
gpa.3.5.warrios
GPA 3.5 🐈‍⬛ warrios :
2026-11-22 07:02:22
0
adaihdestiy
Florence Nyirenda :
inamana adi chunya jamani toka jana
2026-11-22 08:45:00
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About