@rosekapinga33: 🚨🚨 TAARIFA YA DHARURA – BIBI AMEPOTEA / HAJULIKANI NDUgu ZAKE 🚨 Kuna Bibi mmoja ambaye hawezi kujitambulisha wala kueleza ndugu zake. Kwa sasa yupo Kituo cha Polisi Stakishari, Dar es Salaam. Tunaomba yeyote anayemfahamu Bibi huyu au mwenye taarifa kuhusu familia yake awasiliane nasi. 📞 Wasiliana nasi: 0715381739