@drgabriel15: Unapokuwa unatafuta ujauzito huku unatokwa na aina hii ya uchafu ukeni, ni muhimu kwanza upate matibabu kabla ujabeba ujauzito 1. Uchafu mweupe mzito kama mtindi: Unaweza kuashiria fangasi, hasa ukiambatana na muwasho. 2. Uchafu wa njano:Unaweza kuashiria maambukizi ya bakteria au magonjwa ya zinaa. 3. Uchafu wa kijani: Unaweza kuwa dalili ya maambukizi kama Trichomoniasis. 4. Uchafu wa kijivu wenye harufu ya samaki: Unaweza kuashiria kuvurugika kwa bakteria wa kawaida ukeni. 5. Uchafu wenye harufu mbaya na maumivu ya chini ya tumbo: Unaweza kuashiria maambukizi yaliyofika kwenye kizazi au mirija ya uzazi (PID). KWA NINI NI MUHIMU KUTIBU KABLA YA UJAUZITO? ✅ Maambukizi ya PID yanaweza kuharibu mirija ya uzazi na kufanya iwe vigumu kupata ujauzito. ✅ Kuongeza hatari ya mimba kutunga nje ya kizazi. ✅ Baadhi ya maambukizi yanaweza kuongeza hatari ya kujifungua kabla ya wakati. ✅ Baadhi yanaweza kumwambukiza mtoto wakati wa kujifungua. Kama unatafuta ujauzito na unakabiliwa na mojawapo ya dalili hizi, pata uchunguzi ili kujua chanzo na matibabu sahihi. Tunakusaidia kuelewa changamoto zako za uzazi na hatua za kuchukua. Tuma neno UJAUZITO kupitia WhatsApp 0626015260 ili kupata msaada zaidi #Followdrgabriel#viraltiktok

Gabriel
Gabriel
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 16:27:07 GMT
10071
442
3
6

Music

Download

Comments

eva954377
eva :
naomba dawa
2026-11-22 11:49:24
0
user48699483293325
amusante :
niko namimba mai kuwacha naarufu yamubaya najiulizaka kama bila endaka ae
2026-11-22 11:35:05
0
user45136100797
provi :
Sawa nigani dawa
2026-11-22 07:50:03
0
user5779653000738
neema aganze :
😂😂😂
2026-11-22 11:12:30
0
To see more videos from user @drgabriel15, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About