@kilimobiashara: Kila mgomba unazaa mkungu mmoja tu. Ukishavuna, chipukizi linachukua nafasi yake: mama, mtoto, mjukuu, wote kutoka shina moja. Ukisimamia machipukizi vizuri, shamba moja la ndizi linakulipa miaka 10 na zaidi. Unataka kuanza na miche safi? Tunazalisha na kusambaza miche bora ya ndizi: tissue culture TSh 3,500, machipukizi TSh 3,000. Video kamili: YouTube @kilimobiashara1 WhatsApp au piga 0763 071 007, andika MICHE.
Kilimo Biashara
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 18:25:00 GMT
Music
Download
Comments
abuu :
Bonge la Kazi hiii
BENKI ziwawezeshe WENYE Mashamba ya ndizi wapate visima
2026-11-22 05:25:39
0
To see more videos from user @kilimobiashara, please go to the Tikwm
homepage.