@mc_power: HIVI NI KWELI MICHEPUKO WANA ROGA SANA??? #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #viraltiktok #views

MC_Power Tanzania
MC_Power Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 16:47:56 GMT
7361
370
34
120

Music

Download

Comments

user6687943657009
Love 😍 :
wanaroga sana jmn wanaume wasali sana hadi huruma 😳😳
2026-11-22 05:38:42
1
agnes.joel91
Agnes Joel :
kweli kabisa wanarogwa..hasa michepuko wanaroga hawalali..mpaka wanaharibu ndoa na kuvunja ndoa.za watu..na kuacha watoto wanahangaika.na kuwa watoto wa mtaani..hurumaa..mungu tu atusaidie sana.
2026-11-22 06:35:56
1
user1177358102778
ANACIA :
mim alirogwa akahamia hukohuko
2026-11-22 05:45:41
1
rileys792
Riley's :
Mmmh saiz ananiona km mbuzi tu, ngoja tulee watoto, mwisho upo!
2026-11-22 05:50:36
5
mwananchi123
mwananchi :
Mie wamenirogea mume wangu, akiwa kwangu hana nguvu za kiume akienda huko nje mzima,alafu anasema mimi ndie nimemfanya hivyo
2026-11-22 04:41:12
2
keypbenedo
keypbenedo :
wanaroga ila vina mwisho
2026-11-22 05:56:01
2
hericiamteki7
hericia mteki :
halafu wanaume awaelewi km wanarogwa
2026-11-22 05:49:47
1
feelbeter.1720
feelbeter.1800 :
yaaan uko sahihi ni wanaroga sana hatareeee
2026-11-22 04:59:58
1
eria.dotto
Eria Dotto 🇹🇿 :
wanaloga sana hao
2026-11-21 17:38:42
0
chitotolamu4
MRs Kirangae 🥀🥰💞💋❤️‍🔥🥰 :
uzuri namuamin mungu tu
2026-11-22 07:00:30
0
masturahesmin
Charo :
kweli kabsa
2026-11-22 04:35:49
0
user3376136300741
glory sweetbert :
tena wanaroga ile mbayaa
2026-11-22 03:58:04
0
m.km6
Nuru :
waroga sana
2026-11-22 05:12:43
0
teddyenock382
Teddy Enock :
true
2026-11-22 05:41:23
0
user1411093166530
invincible hunter girly :
.unakuta mwanaume anakupenda,lakini ndugu zake hawajakupenda,kwa sababu,wanaona baada ya miaka kadhaa,atakuwa mbali wanaona upambanaji wako daaanh mechoka sana😫😫😫
2026-11-21 18:20:49
3
shuubaby38
Mrs mau💍♥️ :
Wamrogeeee tu jmnii kilanga chakee mwenyewe [Big LOL]
2026-11-22 06:35:48
1
user811166381941
Zainab :
nyie dawa zipo tena balaaaa
2026-11-22 04:17:49
1
user1411093166530
invincible hunter girly :
kweriiiiiiiii kabisa mtu unamzalia kabisa ,na bado anachepuka ,Bora kama kuzaa.uzae.kama.umetaka.kuwa na mtoto ,ndoa ngumu jamaniiiiii,,,
2026-11-21 16:59:40
2
chida050
chida050 :
tena wanaroga sana na kuharibu ndoa zetu
2026-11-22 05:40:06
1
mdigo25
MDIGO :
mchepuko wa mme wangu usisubutu maana matemwe sio mbali
2026-11-22 05:28:39
0
zuhura.omary37
Mrs Juma 💍❤️ :
sikupingi 🔥 virogo vipo
2026-11-22 04:04:46
0
eva.akyoo2
Eva Akyoo :
Na walogwe mpaka wawe wehu wanaume wanaumiza Sana watu
2026-11-22 06:11:03
0
neema.imani
MSHANA :
umepingwa tukio kwa mumeo ukaamjni hata mm nilkkuwa siamini kla nilivyopingwa tukio niliaminiii
2026-11-22 05:16:27
0
toto.emmy6
Toto Emmy💋 :
@Toto Emmy🥰
2026-11-22 04:48:43
0
To see more videos from user @mc_power, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About