@kilimobiashara: Ndizi inachelewa. Mavuno ya kwanza ni mwezi 10 hadi 15. Swali ni nani atalipa gharama za shamba wakati unasubiri. Mkakati wetu: mwezi wa kwanza panda nusu ekari ya papai. Mwezi wa sita panda nusu ekari ya ndizi. Kuanzia mwezi wa saba, papai linaanza kuleta pesa kila wiki na linabeba gharama za shamba lote mpaka ndizi ianze kuuza. Tunakupa miche bora ya papai na ndizi, na tunakusaidia kupanga ratiba hii kwenye shamba lako. Ratiba kamili mwezi kwa mwezi: YouTube @kilimobiashara1 WhatsApp 0763 071 007, andika MICHE.