@badawiy.media: TUMEPATA FAIDA YA ELIMU KUHUSU BINADAMU KUTUMIA MAJINI KATIKA MAMBO MBALI MBALI MAZURI SIKILIZA FATWA YA MUQBIL NA UTHAYMIN ♥️🔥🔥#millionviews #fyp #foryou #trending #expoler
we are not supposed to communicate with jins ni haramu kabisa
2026-11-22 13:59:43
3
poso :
WAISLAM TUACHENI USHABIKI HAO MAULAMAA NI WANADAM WANAKOSEA NA WANAMAPUNGUFU KAMA WALIVYOKUA MAIMAMU WAKUBWA WANNE . KWAHIO KOSA LA IBN TAYMIYA AMA ULAMAA YEYOTE HALIWEZI KUJUZISHA ALICHOHARAMISHA ALLAH . NA HATA MTUME MWENYEWE PIA HAWEZI . KWAHIO HAPA NI TURUDI KWEMYE MSINGI WA UISLAM NAYO NI QURAN NA SUNNA Surah Al-An'am (6:128) – Tafsiri ya Kiswahili (Ali Muhsin Al-Barwani):
Siku ya Kiyama, Mwenyezi Mungu atawakusanya majini na watu waliowafuata, ambapo baadhi yao watasema walinufaishana lakini sasa wamefika ukomo wao, na Mwenyezi Mungu ataamuru Moto uwe makaazi yao ya kudumu isipokuwa apendavyo Yeye, kwani Yeye ni Mwenye hikima na Mjuzi.
Kiarabu:
﴿وَيَوْمَيَحْشُرُهُمْجَمِيعًا يَا مَعْشَرَالْجِنِّقَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَالْإِنسِ ۖ وَقَالَأَوْلِيَاؤُهُم مِّنَالْإِنسِ رَبَنَا اسْتَمْتَعَبَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَذِي أَجَلْتَلَنَا ۚ قَالَالنَارُمَثْوَاكُمْخَالِدِينَفِيهَا إِلَا مَا شَاءَاللَهُۗ إِنَرَبَكَحَكِيمٌ عَلِيمٌ﴾
2026-11-22 07:19:25
1
true voices :
Achana na HAWA sasa
Quran inasema je?
Suirat Al anaam Aya 128 woote majini na binaadamu wanaonufaishana woote motoni.
waman Ahsanu minaLLAH qiila.
Shehe tupe tafsiri ya Aya 128AlAnaàmi
2026-11-22 05:41:21
4
H2 mbili :
Hata mtume pia aliwatumia
2026-11-21 19:53:33
1
Abdulhamid :
GENIUS
2026-11-21 20:21:08
0
Qari Kusway Al-Raidy :
ahahhaha mm simooo ni badawy huyo 😂😂😂😂 hata mm najua wewe humo maana huyu badawy namjua 😂😂😂😂
2026-11-22 07:56:20
2
sheikh Ibrahim Said :
mimi nitawatumia kwenye delivery ya biashara yangu..😁😆
2026-11-21 18:17:08
9
Muhammad shariff :
tayari video 😂
2026-11-21 17:24:18
1
Ally Hakim :
sisi twariq tunamtegemea Allah basi katika Quran 8-2 hatutemei wala pango
2026-11-21 20:26:37
2
master :
nakki umeshapata
2026-11-22 14:56:42
1
professor Abdulswamad :
Waambie wafahamu kuhusu unujumu masheikh wanaopinga elimu ya tiba
2026-11-21 19:43:26
2
muhando :
shekhe Salam alaiykum nna swali hapo hapo kwenye majini shekhe je yajuzu mtu kuambiwa ana jini hivo anatakiwa Atiwe maji mwilini kila Alhamisi?
2026-11-22 02:11:04
1
oooooo :
Atafsiri vizuri ktk ibara ya
بشرط ان كانت الوسيلة المباحة ( ما معنى الوسيلة ؟)
2026-11-21 17:56:46
2
user7020016034436 :
shida moja kwenye masuala ya kucheka mtu wakat wa kumrekebisha sio tabia nzuri ni kejel na dharau na kibri pia yangu ni hayo