ALLAH akupe umri mrefu sheikh Sule tipe elmu ALLAH atakuhifadhi cku ya qiyaam yaa_ Rabby Amiin [Red heart]
2026-11-22 07:08:30
0
Bernad Evod :
Nauliza tuu jaman kipindi yesu anazaliwa hapakuwa uisilam kama mnafatilia historia sasa shehe anatwambiaje yesu kazaliwa mwez wa kiislam wakat uisla umekuja miaka 600 baada ya yesu kufa. Sasa mbona mnatuchanganya fafanua kama unatoa elim na sio kupanga maneno
2026-11-22 07:17:26
0
Bismillah Allahu akbar :
kiswahili kigumu eti muhumini na sio muumini
2026-11-22 06:12:47
0
To see more videos from user @offisher4, please go to the Tikwm
homepage.