mdada alieko macho aje tuwe wapenzi nimechok kuw single
2026-11-21 20:58:06
5
Mr Driver :
Hotel yenu wwe na nani!? maana mmi cyo yangu wala ciijui!
2026-11-21 23:20:07
5
mámâs ɓòé :
Bora imeungua mungu kalipa jasho langu
2026-11-21 20:09:29
9
@DarkBerry :
poleni
2026-11-22 05:02:14
0
alita :
yan yetu na nani? na kwanini iwe yetu
2026-11-22 04:30:41
0
hawa_kassim :
poleni sn
2026-11-21 20:59:31
0
Bekaboy543 :
Kam mna insurance report immediately
2026-11-21 22:19:56
0
user3101519945kipany :
sauti yako tu imeniumiza
2026-11-21 20:32:10
7
MADAM LEGACY :
poleni sana kwakweli maana naelewa Kuna wafanya kazi na kibarua ndio hivo Tena kimeenda Mungu awasaidie wafanya kazi wote na awafanyie wepesi katika kutafuta riziki zenu
2026-11-21 19:48:24
8
Gentleman Jak :
inaenda itarudi
2026-11-21 21:35:11
0
SAMOUR SAMOUR :
poleni
2026-11-21 23:31:31
0
Hassani Isolah :
itakuwa inatoloka mazambi ya humo imekataa kufanya mazambi humo
2026-11-21 23:05:37
0
Mapee daughter..✨💞 :
Kuna Nabii alisema hii kitu hivi ni serious 😰🙆♀️
2026-11-21 22:42:52
1
Ali Juma Ali :
wapi iyo jaman hotel
2026-11-21 18:55:31
1
Glorious :
me sioni ikienda mbona inaungua
2026-11-21 20:42:11
4
Laura💐🌹 :
saut inamachungu polen San Allah awafanyie wepes
2026-11-21 20:56:56
0
@iya 🔥🦋 :
Mim siyo mwanao ila naiyon pole
2026-11-21 19:39:38
3
RAISI WA TAVETA🥰🥰 :
JMN POLENI CHANZO NI NINI
2026-11-22 00:01:45
0
To see more videos from user @feis626, please go to the Tikwm
homepage.