@pilitoni2: #jumuiyaa#mpwapwasho@baba atu@KAPENGA JADU@mamaatu @Andrews collection

piliton
piliton
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 18:02:44 GMT
46778
5167
240
220

Music

Download

Comments

sacha.67_mwalimu
SACHA ♎ :
mlioangalia mpaka mwisho, vp baba atu hajafanya ugomvi ?
2026-11-21 18:20:01
47
tkmru6ocz8v0si
elizabeth :
nilitaka kushangaa kusiwe na ugomvi 😂😂😂
2026-11-21 18:12:59
51
kp_herbs
KP Cosmetics & Herbs :
Jumamosi ijayo Jumuiya ya Mt. Anthony wa Padua tutakua na Misa ya Shukrani nyumbani kwa Baba Elias wanajumuiya tunashukuru kuondoka kwa Baba Atu katika Jumuiya yetu, Misa itaongozwa na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa`ichi OFMCap, karibuni sana😊
2026-11-22 07:19:01
8
moiba29
~Moiba C :
nan kawakutanisha hawa
2026-11-21 19:42:22
7
user806747714150
Angela Mambunga :
kazi zuri sana wapo watu wa ivi.
2026-11-22 18:18:35
0
kimlovely450
kim lovely45 🍁 :
baba atuu wee😂😂😂
2026-11-21 18:07:03
7
omarykilindo8
Ommy +255 :
Nilijuatuu hatutobooooooi[Laugh approved]
2026-11-22 16:35:46
0
user149468411agripiner
agripinersova :
otherwise uyu atoke me niwe mwenyekiti we uwe katibu🤣🤣🤣
2026-11-21 19:39:46
16
drinno6
Drinno :
Kipaji kisicho chosha[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-21 18:07:34
6
kimmy.gal6
kuntyneh ♥️ :
10/10 mgeni kupewa nafasi ndo kosa lilipoanzia
2026-11-21 18:11:17
7
vivigrands9
vivigrands :
inshu iko deep[Laugh approved][Laugh approved]
2026-11-22 14:19:08
1
mc.manyanya
Mc Manyanya🎤🎤 :
😂😂😂 Dah! Baba Atu wew na Aman ni vtu ambavyo havipatani kabisa😂😂😂
2026-11-22 05:50:36
1
user5781156275704
viva boy Jr1997 :
apa cjui tutashift vp?
2026-11-22 13:02:08
3
barakamotto
barakamotto :
nilijua lazima avuruge uwepo wa mungu huyu 😂😂
2026-11-22 14:19:03
2
eliasshikombe
@efx8960 :
nani kaona kiatu cha baba Atu😂😂
2026-11-22 08:33:33
2
filbert.nyambele
Filbert Nyambele :
mmmmhh baba atuu🤣🤣
2026-11-22 12:39:27
2
anneh12378
Anneh baby@123 :
Ila baba atu kwa kuchafua hali ya hewa kwake ni dakika0
2026-11-22 10:03:59
3
centroz0ne_jr
🤞.....🦋 :
sijakataa😂😂
2026-11-22 04:41:23
2
jack.kigoma
jack kigoma :
baba atu ajawahi kukaa nawatu asigombane nawatu yan maisha yake bana
2026-11-22 12:26:36
2
user3334431240815
elizabeth msaki :
godubay
2026-11-21 21:39:50
1
kijangwa44
KIJANGWA :
uwakika
2026-11-21 18:07:21
2
perfectgurl01
perfect girl :
kwann utoke Jumuiya yangu jmn....
2026-11-22 10:46:25
1
mamu.hansy1
Mamu Hansy :
Nimekuwa wa kwanza leo kwa baba antu
2026-11-21 18:08:33
2
mamyskyner
mamy skyner :
baba atu umeharibu Hadi jumuiyani😂😂
2026-11-22 07:58:45
1
To see more videos from user @pilitoni2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About