nakupenda sana mama angu mungu akuzidishie afya njema namiaka mingi apa duniani amini
2026-11-23 20:41:19
1
noela🌹❤️ :
God is god 😭😭
2026-11-23 20:23:57
1
evalinedanford1 :
hii kitu nilikuwa naisoma tu pengine sikuwahi kuamini, ila Kwa Sasa naelewa, moyoni nalia ila usoni nacheka ili mwanangu afurahi[Crying][Crying][Crying][Crying][Crying][Crying]
2026-11-22 12:34:41
4
Official K :
I love you mom
2026-11-23 11:06:04
1
Mariamu Seleman :
Mungu akulinde mama angu kipenzi[Pray]
2026-11-23 14:51:48
2
tatu :
sanaaa Allah aniweke🙏🙏
2026-11-23 16:52:04
1
Diana Samson :
nakupenda sana mam♥️♥️
2026-11-22 19:17:49
1
Shayo Mwingereza :
hakuna kama mama
2026-11-22 15:52:39
1
wardah 🥰🌹 :
rest in peace mom
2026-11-22 10:46:38
1
lizzbet :
akuna kama mama
2026-11-22 12:00:53
1
Husn mapesa Mapesa :
nakupenda sana mama angu❤️❤️
2026-11-23 16:00:09
1
Mama Yohana :
🙏🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Mama nakupenda❤️
2026-11-22 13:15:27
1
Selina Richard :
asante mungu
2026-11-23 14:41:59
1
The real Gian :
nakupenda sanaa mama angu mungu azidi kukutunza kwa ajili yetu
2026-11-23 13:38:20
0
Untouchable 👨 :
fact
2026-11-22 11:22:24
1
nae :
llove mama
2026-11-22 10:53:23
1
Binti Mohammed🥰 :
Hakuna kama Mama mwenyezi Mungu akulaze pema peponi Mama
2026-11-22 18:57:39
2
kazuri wangu 💕❤️ :
hakuna km mama🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
2026-11-22 11:08:12
1
Faridah mammy :
Mungu tutie nguvu kwa sisi tuliyo poteza mama
2026-11-22 13:44:31
4
rozi :
[Tears of joy]😭😭😭😭
2026-11-22 05:14:23
1
WINNIE :
[Pray] Hakuna km Mama [Red lips][Red lips]
2026-11-22 13:27:30
1
To see more videos from user @kashuga31, please go to the Tikwm
homepage.