@nowplaying.tz: Nakumbuka dar live palikuwa hapatoshi.!🔥

NOW PLAYING 🎧🔥
NOW PLAYING 🎧🔥
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 18:41:06 GMT
19503
1133
49
49

Music

Download

Comments

abdunurusimkwasa
Abdunuru Simkwasa :
Ulale mahala pema peponi Mareham Mariam Khamis Dada nilie tokea kukupenda sana Uimbaji
2026-11-22 12:32:29
9
ommymovers0
Omary Movers :
rest in peace bint khamis[Pray][Pray]🫶😭😭
2026-11-22 06:52:08
3
rukia4203
Rukia :
Mungu amrehem huyu dada nampendaga sana hasa ile nyimbo yake ya sidhuliki na lawama
2026-11-22 09:35:45
6
user63774968252332
user63774968252332 :
Huyu dada kazi zake zote zilikuwa ni 🔥 ALLAH JALAL ampe kauli thabit amuangazie nuru kwenye kaburi lake...Amiin 🤲
2026-11-22 11:30:40
6
waziri.mussa53
Waziri Mussa :
Mwenyezi Mungu Akufanyie wepesi Kaburini dada, na sisi pia tunakuja😢😢
2026-11-22 14:27:59
3
mina89455
mina natur pretty :
Amiin, mungu ampe kauli thabiti da,mariam
2026-11-22 14:36:58
2
depretty90
depretty 😍😍 :
Enzi izoo ikweta kwa azizi ali 🔥🔥
2026-11-22 13:57:09
0
zabibumahubah
Zabibu Mauba :
Mungu Ampunguzie adhabu ya kaburi
2026-11-22 15:02:28
0
cheupe04
CHEUPE :
uliwezi bifu lazima watu wapigane hiyo kipindi hicho🤣🤣🤣
2026-11-22 18:20:12
0
msusi.msomi
Benchau.tz :
Skuizi nyimbo za namna Hii hamna
2026-11-22 09:19:25
1
hamisi.ngote.jr
Hamisi Ngote Jr. :
mariam hamis alikua wamoto sana alipokua five stars
2026-11-21 19:14:03
2
kanamakula
cathyln :
pendwa ya muda wote pumzika mariam
2026-11-22 11:17:41
0
mamdogohabiba1
Mamdogo Habiba ❤️ :
Nakumbuka dar live enzi za kina dida
2026-11-22 16:15:41
1
jumadullah_
JUMADULLAH_ :
Ally J kama sio yy alikua modo
2026-11-22 11:44:40
2
user60784867333731
Fatuma juma :
Allah akuweke pema dada 🤲🤲💔
2026-11-22 13:27:18
0
kinara.wa.vijana
@Kinara Wa Vijana :
Nyimbo za Mwisho Mwisho kabla ya Mzee yusuph kuhama Zanzibar Star na kuunda Kundi lake Jahazi na kina Mariam,johka,Zena Kuangukia Five Star
2026-11-22 16:36:54
0
asha67493
Asha :
pambe tu
2026-11-22 06:22:43
0
rahela147
🥰hela🥰🥰🥰🥰🥰 :
😳😳😳
2026-11-22 09:15:19
1
_wakushine_brand1
نۆسراو :
hiyo 1997 sio poa
2026-11-22 18:45:55
0
_chameleon57
Chameleon🦎 :
sister angu anapenda sana kumsikiliza huyu.🔥🔥🔥
2026-11-22 17:59:49
0
jasmineavatar
Jasmine avatar :
2026-11-22 18:20:00
0
mwanaidiramadhan97
mwanaidi :
mungu akupumzishe na adhabu ya kabr mamu tunakukumbuka daima
2026-11-22 16:53:49
0
mrs.dawson05
Mrs Dawson :
dunia tunapita apo nikikumbuka didah wapumzike kwaamani
2026-11-22 16:18:36
0
mlashi.juma6
Mlashi Juma :
napenda hiyo
2026-11-22 13:21:49
0
user8119317813428
user8119317813428 :
Magomeni
2026-11-22 07:38:35
0
To see more videos from user @nowplaying.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About