@b.l.e.s.s.10_: Mama ni zawadi nzuri, lakini tusimsahau Baba aliyekuwa sehemu ya kumpata. Wazazi wote wana nafasi ya pekee katika maisha yetu. 🥰🙏❤️

B.l.e.s.s.
B.l.e.s.s.
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 21 November 2026 18:41:34 GMT
32065
2224
46
473

Music

Download

Comments

offical.mmanda7
Offical@anyanass👑 :
nampenda sana baba angu mungu akulinde baba. nakuheshimu baba angu[Perfect score]
2026-11-25 12:48:22
2
user4874635378538
hellen Mwery :
Mungu akulinde baba yangu, wew ni baba bora sana kwetu[Heartwarming] Mungu akukumbuke [Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-11-23 12:38:08
3
joyce.urassa5
Joyce Urassa :
MUNGU tulindie wazazi wetu
2026-11-23 12:19:01
1
anastazia.jeremia5
Anastazia Jeremiah :
nyimbo ni zuri ila inaniumizaga sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 endelea kupumzika kwa amani baba angu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-11-22 18:00:44
2
bint.lai
bint lai :
ila sio kwangu mm
2026-11-23 06:03:01
1
official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
Nashukuru Mungu baba yangu alinichagulia mama bora hlf akaamua yy sasa kuwa kichomi
2026-11-23 06:45:42
1
makulusatz3
makulusatz :
Eh mwenyez mung naomba umulaze Baba ang kpnz mahali pema peponi I love you
2026-11-23 06:53:08
1
rahmaamin132
Rahma__styles :
mungu akupe kauli thabit siku ya kiyama baba
2026-11-23 06:39:54
1
user7684875684212
@gefreeñ 061 :
kweli
2026-11-22 14:36:34
1
elifarzyt7g
elifarzyt7g :
amen
2026-11-22 21:31:42
1
b.l.e.s.s.10_
B.l.e.s.s. :
🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2026-11-21 18:42:30
1
gee31916
gee :
Asante Mungu kwa zawadi hii uliyonipatia ya wazazi bora
2026-11-22 09:31:12
1
user6172422497137
user6172422497137 :
Asante MUNGU Kwa kunipa wazazi bora kwangu
2026-11-22 09:41:10
1
tweve16
bint G ❤️❤️ :
nimejikuta nalia I miss you dady 😭😭😭
2026-11-23 05:27:42
1
allanngayalina
Allan Ngayalina :
amen 🙏 Mungu endelea kunilindia wazazi
2026-11-22 08:12:38
1
user46232741704681
Martha j@y🌹🫶 :
mungu tulindie wazazi wetu wawe na maisha marefu
2026-11-22 02:34:22
1
vailethrobert291
D🌺 :
nakubali
2026-11-21 18:50:44
2
rayunarayunaa1
Rayuna Rayuna❤️ :
Sio kwa mababa wote labda wakwako lakini wengine ni mababa Jina tuu
2026-11-23 06:30:20
1
tcg9893
R.I.S🙏🙏 :
🥰🥰🥰
2026-11-23 07:19:06
1
asi28337
asian kavugho :
🥰
2026-11-22 07:46:37
1
0694229828clatagirl
clata girl ♥️ :
🙏🙏🙏🙏
2026-11-22 12:30:35
1
hone601
honne❤️601 :
🙏🙏🙏
2026-11-22 05:01:12
1
To see more videos from user @b.l.e.s.s.10_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About