@nollysimba: •Mechi 15, ushindi 15! 🔥, Simba inaendelea kutoa somo la soka kwenye NBC Premier League, ikiwa bado haijapoteza wala kutoka sare katika mechi zake zote ilizocheza! 💪 Lakini bila kusahau kuna kitu kingine cha kuzungumzia… 👀 •Hadi sasa Libasse Moto ndiye kinara wa kutoa ASSIST akiwa na ASSIST 8! wanaomfuatia wana Assist 3 pekee. Yaani anaongoza kwa tofauti ya Assist 5! 😂👏 𝐍𝐁; Hii Simba ya msimu huu kukosa ubingwa labda uizuie kwa Mabomu🙌. ##simbasc #nbcpremierleague #tanzaniantiktok #fyp