@uhondo.tv: Dereva wa lori, Job Mbawala, amesitishiwa safari baada ya kubainika kuendesha gari kwa takribani saa 15 mfululizo bila kupumzika, katika operesheni maalumu ya ukaguzi wa usalama barabarani iliyofanywa na Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma. Akizungumza na RTO Mkoa wa Dodoma, Job amesema alianza safari saa tatu asubuhi na kuendelea kuendesha hadi saa sita usiku kuelekea saa saba. Hata hivyo, licha ya kudai kuwa hajisikii kuchoka, RTO alibaini dalili za uchovu na kumtaka apumzike kabla ya kuendelea na safari. RTO amesisitiza kuwa madereva wanapaswa kupata mapumziko ya kutosha ili kuepusha ajali zinazoweza kusababishwa na uchovu barabarani. Kwa upande wake, Job amepongeza operesheni hiyo, akisema ni hatua muhimu katika kulinda maisha ya madereva na watumiaji wengine wa barabara. #UhondoTVUPDATES

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 November 2026 04:15:44 GMT
228071
23600
627
503

Music

Download

Comments

southern_hauliers
SAUZEN :
ameshindwa kujitetea kwamba nilipumzika sehemu flan masaa kadhaa
2026-11-22 05:12:27
241
petero5477
Petro :
in Kenya it's against the law to drive more than eight hours without resting you can be fined 50k by the court. it's only that in Kenya we don't follow traffic laws.
2026-11-22 06:39:03
3
korirkiptoo4
💫 MASTER 🇺🇸🇺🇸💫 :
for the first time I'm seeing good police officers,💪💪God bless you officers ,I salute you 🙏
2026-11-22 07:12:21
12
franklymwakitego
Frankly Mwakitego :
kweli kanausingizi
2026-11-22 04:26:43
55
isaac_kamau
NIK98 :
NTSA this is the way forward in regards to road safety..
2026-11-22 06:21:52
84
husna..mduwile
It’s husna💋 :
Bora hata mumemsaidia alale
2026-11-22 06:03:22
34
reyfred4
reyfred@ :
ivi kuendesha peku sio kosa kisheria
2026-11-22 04:57:45
63
user68039182425886
aneth🌹 :
Tuheshimu sana wnaumee japo mapenz imekataaa kwa upande wanguu
2026-11-22 06:42:54
16
user2935612348307
hetta :
wekeni Shelia basi maroli kutembea mwisho saa Sita
2026-11-22 05:04:34
84
poultrychicksfarmstz
poultry chicks farms tz :
HUYU NDO ASKALI TUNAEMTAKA BARABARANI HONGERA SANA KAZI NZURI
2026-11-22 05:10:41
145
jason.jason007
Jason ♑️ :
Officer asante [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed]
2026-11-22 07:50:10
0
oscarorix01
oscariot :
I appreciate this service
2026-11-22 06:48:34
6
user3584308420718
qwess :
Uyu ndo asikari tunayemtaka anaongea na dereva kirafiki
2026-11-22 06:32:54
30
prince.kalova8
Prince Kalova :
kwahe chima 🫡🫡
2026-11-22 07:55:00
0
shamexinternational
Shammy international :
but he was not using any drug on him
2026-11-22 08:03:16
0
alipunisher254
🅰🅻🅸- 🅳🅴 🅿🆄🅽🅸🆂🅷🅴🆁 :
mimi napiga 26 hrs nonstop
2026-11-22 07:49:47
0
ponmarengineering
PONMAR ENGINEERING LIMITED :
This is more professional
2026-11-22 07:53:06
0
frankchaula7
frankchaula7 :
afande yupo vzr
2026-11-22 04:43:45
35
devid.morgan70
Morgan@General :
Kazi nzuri sana Afande Mungu akupe maisha yenye kheri🙏
2026-11-22 05:07:39
27
neemasilvester1
neemasilvester523 :
safi sana afande dreva alale kwanza
2026-11-22 04:46:59
14
kmunyxlv9i4
moha' :
Njoo Kenya sasa,alaf afande ni Kiprono ama Njoroge
2026-11-22 06:48:58
10
paschal.karokola
PaschalMp :
kwa hiyo iko kipulizo wanachange wanaosha au ni disposable
2026-11-22 05:16:49
24
doreenmash22
Doreen DRM :
Maaskari wote mngekua kama huyu hapa bongo tungekua mbali sana🫂🥰
2026-11-22 06:04:41
10
hussen.hassan60
Hussen Hassan :
nasema hv awajamaaa baadhi Yao wanamiemko na madaraka wengine wanajua kutusimamia
2026-11-22 04:57:48
13
fabian_alone0
FABIAN :
I love this officer ,,, no day Ako after money but safety
2026-11-22 06:04:01
5
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About