@supa12_: The Side of Lionel Messi the Mainstream Media Never Shows You. #lionelmessi #intermiami #supa12 #sportsontiktok

supa12
supa12
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 November 2026 05:43:29 GMT
14643
1864
147
68

Music

Download

Comments

rajabjr6
Räjäb :
mashabiki wa Messi wako wapi
2026-11-22 05:48:49
28
osamtz67
☠️osamáTz🇰🇪📿💍💦💦👀🇺🇸⚾️ :
messi sheria si katunga baba ake mwache afanye anacho taka[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-11-22 05:58:28
5
anurio__19_
RIO_19 :
We jamaa nilikuon mchambuz mzuri lakini kumbe una ushabiki kwamba humpendi messi kwanza olise hajapigwa direct red card alianza kupigwa yellow card yy mpira ulikuwa umesimama sasa messi yy mpira haujasimama mpira wa kurushwa halafu jamaa ananyoosha mkono
2026-11-22 06:08:18
9
ross.mwantona
Ross Mwantona :
acha hizo Olise akipewa njano hapo hapo akampiga na mpira mpinzani refa ndo akatoa kadi, sawa supa12 usitulishe matango poli sisi wote watu wa mpira
2026-11-22 06:24:13
8
user8127009675048
Abdelhabb :
amna red card apo kazuia mpila mwenyw angetoka
2026-11-22 05:59:47
5
nuhumruke04
MSODOK_04 :
ungeweka tukio lilivyoanza sio hicho kipande labda tungekuelewa
2026-11-22 05:53:21
3
ibrajivk4ju
Mr Nonchalant 😎 :
acheni kukuza mambo kwa kosa gani alo Fanya apo sas jamaaa anapotez muda anazui mpira usilushwe
2026-11-22 06:06:04
2
ayoub.joshua4
Ayoub Joshua :
Kaka na wew ni sehem ya Ronaldo cr7😂🤞
2026-11-22 06:31:15
3
mrmrs.k5
Mr Kim J son :
kwan kampiga au alikua anarusha mpira mtu yupo karibu yake na ukampiga
2026-11-22 06:36:43
1
zayocha6
ZAYOCHA :
Michael olise alikua tayari na yellow card brother
2026-11-22 07:05:28
0
simonsimaya1
Simon :
Ndio maana matokeo ndo haya
2026-11-22 06:17:34
2
rickpoal
Rick shoestz :
ww ni team ronaldo tunakujua kaka tuaushie
2026-11-22 06:41:58
0
miss_angel71
being_ Angel💕 :
anzia mwanzo mbona unaanzia katikat
2026-11-22 07:02:05
0
bellah0791
bellah :
Alf hat card hakupewa
2026-11-22 06:30:47
0
user6169715203415
mkole :
no goat like that
2026-11-22 06:01:56
0
meshackrobertlusema
MESHACK TZ 2004 :
bola ata olise sio hiyo
2026-11-22 06:00:16
3
wizzyy802
Wizzyy :
Kaka olise alikuwa na njano tayari
2026-11-22 06:11:51
3
omy0013
💫Omy💯 :
sija wahi kukupinga, ila hapo hapana kk
2026-11-22 06:28:44
2
user814504769868
office designer75@ :
Wala 4347
2026-11-22 06:31:53
1
lilsavage...07
𝕚𝕥'𝕤 𝕝𝕚𝕝 𝕤𝕒𝕧𝕒𝕘𝕖 ℝ :
msipanikiii ...weka ushabiki pemben then ongeen mpira ..that's fact
2026-11-22 06:56:43
1
wood_touch_furniture
wood Touch Furniture 🪚🔨 :
Asa kama mtu anakusumbua usimpe adhabu 😁😁😁 alafu Uyo ni doctor lazma atoe matibabu
2026-11-22 05:54:29
2
wataftajibongo
CHIKOZO 4👊 :
tukisema FIFA boy mnakataa apo Bado mbona mtaona mengi😂😂😂
2026-11-22 06:32:12
1
a..g..silver
a. g. silver :
olise alikuwa na njano tayar ndo akapigwa red ...piah messi ndo mgeni rasmi akatolewa tv zinazimwa mashabiki wanaisha uwanjan mechi zijazo amna mauzo ya tiket
2026-11-22 06:28:33
1
jaysensix
ÉMJÃY🛑 :
Amna Goat apooo
2026-11-22 06:55:08
1
alhamissisaidmtep
AL~KHAMISSI :
kuna tofauti apo olise ilikua katikati ya uwanja messi alikua analisha mpila kwa halaka halaf mpinzani akanyoosha mkono kuzuia mpila
2026-11-22 05:54:35
2
To see more videos from user @supa12_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About