iyo inadhirisha ukubwa wa CR7. ndomana Ronaldo akifanya kitu dunia zima inamuongelea
2026-11-22 08:31:25
9
meta :
Kwa NINI ukisema GOAT unamalizia cr7
2026-11-22 06:26:59
27
ethan mnyama :
nyie mtaxema xana ila messi n messi2
2026-11-22 09:13:01
0
Deogratias A Athanas Katabwa :
Christian ni GOAT Wa Manchester's fans
2026-11-22 08:01:40
0
Erick Ford :
Acheni ujinga hakuna wakufanana na messi hapa Duniani na sizani kama tunaweza kumpata tena mtu kama messi.
2026-11-22 07:49:27
6
last born✌️✌️ :
LIONEL MESSI PLAYER OF THE WOLD ukataee ukubaliii[Big LOL][Big LOL][Big LOL]
2026-11-22 08:19:49
0
Alafa Yasin :
kua nanizam naww shekhe tulee uyo lonado hamfikii messi
2026-11-22 07:35:50
2
mordekai Tz :
Queen wetu mnamuonea mama yetu🤣🤣
2026-11-22 07:40:33
7
SIX SEVEN 🇹🇿🚭💔 :
Ila mashabiki wa ronaldo kila siku wanasubiri messi afanye k2 waminishe watu kuwa ronaldo ni goat sas huyo messi silikuwa anarusha mpira yeye kakaa mbele eb acheni kuchamba umbea basi
2026-11-22 06:24:05
5
Drigo tz :
Weweee messi is the best is the goat
2026-11-22 10:54:34
0
God's lastborn🥱 :
kwan si mpira wa kurusha au..na yeye karusha mpira haijalishi mpira umetua wapi uwezi mpangia mtu pa kurusha mpira
2026-11-22 06:14:40
14
Dullah Evra :
ilé ni red card kabisa kapewa hadi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] yani weeacha
2026-11-22 09:27:41
0
Irarimymy@# :
The power of money🔥🔥🔥
2026-11-22 10:38:53
0
Tege_boe :
Miami kila ck wanabondwa lkn huwez skia 🤣🤣ila andunje akifung sas😁😁
2026-11-22 06:06:31
8
MESHACK TZ 2004 :
ingekua trending
2026-11-22 06:01:35
5
billyceffason :
GOAT anapewaje Card😂😂😂😂
2026-11-22 06:38:39
9
kevoo junior :
keel kak uko saw kbsaa ilikuaa clear red card
2026-11-22 05:50:38
6
nasibuwamoga :
Brand inalindwa ww
2026-11-22 10:33:29
0
Scar_fac321 :
Kam wew refa ungeweza kutoa red
2026-11-22 08:24:59
0
suleiman :
iyo ndo maana kamili ya the 🐐
2026-11-22 08:50:46
0
𝔾𝕣if𝕗i𝕟 𝕎a𝕥e𝕣 𝔼x𝕡er𝕥 :
Mimi Usiku kimya kimya nkaamua nimwamini Miami kwasababu wanasema kunagoat mhh Nashangaa yamepigwa 3 bila🥺🥺🥺
2026-11-22 06:57:59
0
To see more videos from user @sportland_tz, please go to the Tikwm
homepage.