@swahili.reminders: Kila kitu katika Qur'an kimetajwa katika Surat Al-Fatiha, Na kila kilichokuja katika Surat Al-Fatiha, kama alivyosema Allah Ta'ala: ﴿إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ﴾ "Wewe peke yako tunakuabudu, na Wewe peke yako tunakuomba msaada" Mbingu na ardhi hazisimami ila kwa kuthibitisha kwadhati "Hapana mungu ila Allah". Lau mbingu zingewekwa na ardhi katika kitanga kimoja cha mizani, na "Hapana mungu ila Allah" ikawekwa katika kitanga kingine, "Hapana mungu ila Allah" ingezidi uzito. #fypppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppppp #alfatha #quran #surah #اكتب_شي_تؤجر_عليه