@kali_sports: Galatasaray Head Coach Received a red card After Shaking Hands With Referee. #Soccer #sports

kali_sports
kali_sports
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 22 November 2026 07:15:09 GMT
59609
3022
58
30

Music

Download

Comments

waema08
Tony :
hapana kuna kitu alimpea angalia vizuri
2026-11-22 08:19:49
23
michael.k.officially
Mike 254✔️de gunner. :
Mbona hapa EPL wachezaji baada ya game referee anasalimiwa vizuri tu
2026-11-22 09:53:51
2
www.dr.rujo.001
Doctor Babu :
hilo ni kosa kw sheria za fifa,inaonekana kuna corruption
2026-11-22 10:07:04
1
pistonbwoy
pistonbwoy tz :
Kosa alilofanya ni utovu wa nidhamu kaslimiana na referee akiwa kashika mkono mfukoni
2026-11-22 08:05:02
6
trainer_jnr1
Trainer jr. :
hajampa refaree mkono amempa linesman tuu
2026-11-22 09:40:37
1
user3672047049168
mihambo genery :
ni kuepusha ishara za rushwa inaweza tajwa kumpa mkono referee haitakiki hasa kwa beach la ufundi la timu yoyote
2026-11-22 09:04:06
3
dj.danrich
DJ DANRICH :
Huyo sio refa
2026-11-22 09:02:27
0
yonnadanielrose
yonna Daniel :
Hapana sio kweli huyo kocha kuna kauli mbaya alitoa hapo
2026-11-22 10:50:59
1
idrack.boy.from
idrack (boy from 🇫🇷 ) :
inaonekana kama katoa rushwa
2026-11-22 07:38:49
9
peterlismodricgmail.com
𝑚𝑜𝑑𝑟𝑖𝑐 :
𝑎𝑝𝑎𝑛𝑎 𝑐 𝑘𝑜𝑠𝑎 𝑘𝑢𝑠𝑎𝑙𝑖𝑚𝑖𝑎 𝑟𝑒𝑓𝑒𝑟𝑒𝑒, 𝑎𝑙𝑖𝑚𝑝𝑒𝑎 𝑟𝑒𝑑 𝑐𝑎𝑟𝑑 𝑗𝑢𝑢 𝑎𝑙𝑖𝑚𝑢𝑠𝑎𝑙𝑖𝑚𝑖𝑎 𝑎𝑠𝑠𝑖𝑠𝑡𝑎𝑛𝑐𝑒 𝑟𝑒𝑓𝑒𝑟𝑒𝑒 ℎ𝑢𝑘𝑢 𝑎𝑘𝑖𝑚𝑝𝑖𝑡𝑎 𝑟𝑒𝑓𝑒𝑟𝑒𝑒 𝑤𝑎 𝑘𝑎𝑡𝑖 ℎ𝑖𝑐ℎ𝑜 𝑘𝑖𝑙𝑖𝑜𝑛𝑦𝑒𝑠ℎ𝑎 𝑛𝑖 𝑑ℎ𝑎𝑟𝑎𝑢 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑚𝑠𝑎𝑙𝑖𝑚𝑖𝑎 𝑛𝑎 𝑎𝑘𝑎𝑜𝑛𝑦𝑒𝑠ℎ𝑤𝑎 𝑘𝑎𝑑𝑖 𝑛𝑦𝑒𝑘𝑢𝑛𝑑𝑢
2026-11-22 09:09:55
0
rahby6
rahby6 :
Sasa uyo refa nae anapatiwa adhabu gni
2026-11-22 10:01:05
1
ruhindwa
ROGER MUSA :
ndio nikosa maana yake amemupongeza kwakazi alio fanya ikiwa namaana kwamba kazi nilio kupa umeitimiza sasa iwe kweli isiwe kwe tayari iyo ni ruswa
2026-11-22 09:28:53
1
shillahaaaaog4
SHILLAH ss⛳️⚽️ :
mbn ajakataa sasa
2026-11-22 10:46:57
0
erickoyombi
Erick oyombi :
nkama aliongea neno baya
2026-11-22 10:21:57
0
moxamediamini
king moxamedi amini :
ukimpa mkono unaonekana kama unatoa rusha refa yuko sahii kumpa redi kadi
2026-11-22 10:22:51
0
hikups.kikons
Hikups Kikons :
duuu
2026-11-22 10:46:53
0
abuumaalik
abuu maalik :
Atakuwa alisema maneno yasiyofaa, kupeana mikono SIYO KOSA.
2026-11-22 09:42:06
0
fizzo0001
Fizzo Mfinanga1 :
sasa hyo neno fair play waliweka la nn? Acha uongo
2026-11-22 08:31:21
0
zuberi.awadhi
Zuberi Awadhi :
kwann refa asikatae
2026-11-22 09:00:21
0
victorarteta2
arteta :
mbona huyo refa nae hakupewa kadi
2026-11-22 08:55:46
0
bongodrama.tz
Bongo_drama.tz1 :
sasa mbona nae referee nae kampa mkono back 🔙 ile imetokea unconsciously wote ilibid wale red ♥️
2026-11-22 10:55:54
0
man_yuser_baruti
* Man Yuser :
Alisalimiana na msaidizi wa uamuzi ndyo muamuzi mkuu akatoa kadi😁😁😁
2026-11-22 09:05:50
0
sam689760
Sam :
amempa red card kwasababu amesalimia refaree mmoja Na walikua wengi hio inaonyesha utovu Wa nidhamu Na pia kuanyesha kama alitoa rushwa Kwa refa yule
2026-11-22 09:49:31
0
official_jozy
Jozy :
apo inaonekana mkono sio kosa kuna maneno ya kebei itakuwa aliyesema huoni kwenye kutoa mkono hakukuwa na shida bali alipo piga hatua nikama wote walishtuka inamanisha kuna neno walisikia akitamka
2026-11-22 09:35:58
0
abeidinhocs001
☆BODYGUARD 4 RINA🃏🐇💜💙☆ :
💜💙🤣ni linesman not ref🤣💙💜
2026-11-22 08:41:39
0
To see more videos from user @kali_sports, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About